UTAJIRI WA KIBIBLIA
1) Biblia. Mithali 10:4[4]Atendaye mambo kwa mkono mlegevu huwa maskini;
Bali mkono wake aliye na bidii hutajirisha.
He becometh poor that dealeth with a slack hand: but the hand of the diligent maketh rich.
>> ULEGELEGE NA UVIVU HUZAA UMASKINI
>> BIDII ( DILIGENCE) HULETA UTAJIRI (HUTAJIRISHA)
>> WOTE KANISANI WAKIWA NA BIDII KWENYE KAZI ZA MIKONO YAO WATATAJIRIKA!
UTAJIRI WA KIBIBLIA
2) Mithali 10:22
[22]Baraka ya BWANA hutajirisha,
Wala hachanganyi huzuni nayo.
The blessing of the LORD, it maketh rich, and he addeth no sorrow with it.
>> BARAKA YA BWANA NDIYO INAYOTAJIRISHA MTOTO WA MUNGU
>> KUBARIKIWA NI KUTAJIRISHWA
>> KUBARIKIWA NI KUWA VYOTE VILE MUNGU ALIVYOKUSUDIA UWE, NA KUFANYA YOTE YALE MUNGU ALIYOKUSUDIA UYAFANYE, NA KUKUWEZESHA KUYAFANYA KWA KUWA TAYARI UKO VILE ATAKAVYO UWE, NA KUYAWAZA MAWAZO YOTE YATOKANAYO NA NENO LAKE, KUWA NA AKILI ZAKE, KUENENDA KWA ROHO WAKE, KUYATENDA MAPENZI YAKE, KUMILIKI VYOTE ALIVYOKUSUDIA UMILIKI KAMA TU WAKILI WAKE, HUKU UKIWA MMOJA NA MWANAWE YESU KRISTO AU NENO LAKE LILILO HAI! HII MAANA YAKE UTAJIRI WOTE WA NENO NI WAKO NA UNAUTUMIA UTAJIRI HUO KWA MAKUSUDI, MALENGO, NA MIPANGO YA NENO NDANI YAKE KRISTO YESU BWANA NA MWOKOZI WETU!! HUWEZI KUWA WALA KUITWA MASKINI KAMWE; LAKINI PIA HUWEZI KUMILIKI UTAJIRI HUU USIOPIMIKA KWENYE MWILI GHAFLA AU HARAKA HARAKA MAANA KUNA MCHAKATO WA KUPITIA KWA WAKATI ULIOAMURIWA TANGU KABLA YA KUUMBWA ULIMWENGU.
Waefeso 1:3
[3]Atukuzwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, aliyetubariki kwa baraka zote za rohoni, katika ulimwengu wa roho, ndani yake Kristo;
Blessed be the God and Father of our Lord Jesus Christ, who hath blessed us with all spiritual blessings in heavenly places in Christ:
SISI TULIOOKOKA TUMEBARIKIWA KWA BARAKA ZOTE NA KWA KUWA BARAKA YA BWANA HUTAJIRISHA ( MITHALI 10:22); SISI TUMETAJIRISHWA KWA UTAJIRI WOTE KATIKA ULIMWENGU WA ROHO!! NI DHAHIRI UTAJIRI HUU UTADHIHIRIKA HATUA KWA HATUA KATIKA ULIMWENGU WA MWILI!! KUKOSA MAARIFA SAHIHI KUNAPELEKEA "MATAJIRI " KUTESWA NA MAPEPO YA UMASKINI MAANA IMEANDIKWA: "Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa......!" (HOSEA 4:6)

3) 1 Timotheo 6:10
[10] Maana shina moja la mabaya ya kila namna ni kupenda fedha; ambayo wengine hali wakiitamani hiyo wamefarakana na Imani, na kujichoma kwa maumivu mengi.
For the love of money is the root of all evil: which while some coveted after, they have erred from the faith, and pierced themselves through with many sorrows.
>> KAMA UNA TABIA YA KUPENDA FEDHA (roho ya kupenda fedha) LAZIMA UTATENDA DHAMBI!! utadhulumu, utatapeli, utadanganya, utagombana na watu kwa sababu ya fedha, utaiba, utaghushi, hautatosheka wala kuridhika na fedha uliyonayo NA MWISHOWE UTAGEUKA MWABUDU SANAMU AMBAYE UNAABUDU "mungu fedha" na siyo Mungu Aliye Hai!! MUNGU KAMWE HABARIKI WAABUDU SANAMU AU WAPENDA FEDHA!! Fedha zinatakiwa zitutumikie na siyo sisi kuwa watumwa wa fedha!! UKIWA MPENDA FEDHA HUWEZI KUWA MTOAJI ANAYEUPENDEZA MOYO WA MUNGU!! MUNGU HAWEZI KUMBARIKI NA KUMTAJIRISHA MPENDA FEDHA AMBAYE NI MWABUDU SANAMU!

4) 1 Timotheo 6:9
[9]Lakini hao watakao ( watamanio) kuwa na mali huanguka katika majaribu na tanzi, na tamaa nyingi zisizo na maana, zenye kudhuru, ziwatosazo wanadamu katika upotevu na uharibifu.
But they that will be rich fall into temptation and a snare, and into many foolish and hurtful lusts, which drown men in destruction and perdition.
>> UKIWA NA TAMAA YA MALI NA UTAJIRI HUWEZI KUTAJIRISHWA NA MUNGU
>> TAMAA YA MALI NA UTAJIRI HUPELEKEA IBADA YA SANAMU NA HIVYO HUWEZI KUMWABUDU MUNGU ALIYE HAI KATIKA ROHO NA KWELI!!!
>> UKIWA NA TAMAA YA FEDHA, MALI, NA UTAJIRI HUWEZI KUWEKA HAZINA MBINGUNI, BALI UTAJILUNDIKIA MALI NA FEDHA HAPA DUNIANI NA KUZITUMAINIA HIZO BADALA YA MUNGU, KUZITEGEMEA HIZO BADALA YA MUNGU, KUZIPENDA NA KUZITAFUTA HIZO KULIKO MUNGU N.K. MAANA HAZINA YAKO ILIPO NDIPO UTAKAPOKUWAKO NA MOYO WAKO (MATHAYO 6:19-21)
>> UKIWA NA ROHO YA KUPENDA NA KUTAKA FEDHA, MALI, NA UTAJIRI HUWEZI KUMPENDA MUNGU NA KAMWE YEYE HAWEZI KUKUBARIKI NA KUKUTAJIRISHA!!!

5) Mhubiri 5:10
[10]Apendaye fedha hatashiba fedha,
Wala apendaye wingi hatashiba nyongeza.
Hayo pia ni ubatili.
He that loveth silver shall not be satisfied with silver; nor he that loveth abundance with increase: this is also vanity.
>> MPENDA FEDHA HAWEZI KAMWE KUTOSHEKA NA FEDHA
>> MPENDA WINGI KAMWE HATOSHEKI NA ONGEZEKO LA WINGI WA AINA YOYOTE!! KADIRI MALI AU FEDHA AU CHOCHOTE KINAVYOZIDI KUONGEZEKA YEYE HASHIBI WALA HATOSHEKI
>> TAMAA HAISHIBI WALA HAITOSHEKI MPAKA IHAKIKISHE roho YAKO IMESHUKA KUZIMU NA KUNGOJEA HUKUMU YA MWISHO UTAKAPOTUPWA JEHANAMU AMBAMO UTATESWA MILELE!
>> UKIWA MPENDA FEDHA NA MPENDA WINGI HUWEZI KUMPENDEZA MUNGU WALA HUWEZI KUMTUMIKIA KWA UNYOOFU MAANA UMEJAA TAMAA!! HUWEZI KUYAFANYA MAPENZI YA MUNGU MAANA WEWE NI BAHILI NA MCHOYO! WEWE NI MBINAFSI NA UPENDO WA MUNGU HAUMO NDANI YAKO! HUWEZI KUSAIDIA NA KUINUA WENGINE VILE ATAKAVYO NA APENDAVYO MUNGU MAANA HAUWEZI KAMWE KUJIKANA KWENYE FEDHA NA MALI
>> MUNGU HAWEZI KUBARIKI NA KUMTAJIRISHA MPENDA FEDHA NA MPENDA WINGI ASIYESHIBA WALA KUTOSHEKA SIKUZOTE!

6) Mithali 11:24
[24]Kuna atawanyaye, lakini huongezewa zaidi;
Kuna azuiaye isivyo haki, lakini huelekea uhitaji.
There is that scattereth, and yet increaseth; and there is that withholdeth more than is meet, but it tendeth to poverty.
>> roho ya dunia huwa inakusanya na kulimbikiza fedha, mali, na utajiri ILI KUTAJIRIKA!! Hivyo ndivyo dunia itendavyo, na tena hutenda hivyo kwa uchoyo, ubahili, na tamaa! Matokeo yake huwa hakuna kutosheka, hakuna kuridhika, hakuna kusaidia, hakuna kujitoa, hakuna kutoa n.k. Huku ndiko kuzuia isivyo haki maana hakuna hapa kumtumainia wala kumtegemea wala kumwamini Mungu!!
>> lakini Roho wa Mungu hufundisha, huelekeza, huongoza, na kuwezesha KUTAWANYA kinyume na KUKUSANYA NA KULIMBIKIZA! Uchumi binafsi wa mtoto wa Mungu mwenye uraia wa mbinguni huwa unafuata kanuni za kibiblia!! Sisi TUNATAWANYA ILI TUONGEZEWE NA KUZIDISHIWA!! Hapa siongelei kile kijifungu cha kumi, bali naongelea maisha yaliyozamishwa kwenye kutoa na kujitoa kama SHUGHULI KUU KWENYE MAISHA HAYA YA HAPA (AS THE MAIN BUSINESS OF EARTHLY LIFE) Kutoa kwa kiungu hufika katika viwango ambavyo si vya kibinadamu maana badala ya kulimbikiza kwenyewe huwa kunatawanya katika kutenda kwake mema sikuzote, wakati wote, na mahali pote!!
>> MUNGU HAWEZI KUMBARIKI NA KUMTAJIRISHA YEYOTE MWENYE KULIMBIKIZA BADALA YA KUTAWANYA! NDIYO MAANA WENGI HUKWAMA NA KUBAKI KUOGELEA KWENYE HALI ZA UMASKINI KWA KUWA HUTAKA KUIFUATISHA NAMNA YA DUNIA HII KWENYE UTAFUTAJI WAO!!! UTAWANYAPO MUNGU HULIJAZA LILE PENGO NA YEYE MWENYEWE KWANZA (MCHAKATO!) NA KISHA BAADAE HUJAZA FEDHA, MALI, NA UTAJIRI!!

7) Mathayo 6:19-21
[19]Msijiwekee hazina duniani, nondo na kutu viharibupo, na wevi huvunja na kuiba;
Lay not up for yourselves treasures upon earth, where moth and rust doth corrupt, and where thieves break through and steal:
[20]bali jiwekeeni hazina mbinguni, kusikoharibika kitu kwa nondo wala kutu, wala wevi hawavunji wala hawaibi;
But lay up for yourselves treasures in heaven, where neither moth nor rust doth corrupt, and where thieves do not break through nor steal:
[21]kwa kuwa hazina yako ilipo, ndipo utakapokuwapo na moyo wako.
For where your treasure is, there will your heart be also.
>> MUNGU HAWEZI KAMWE KUKUBARIKI NA KUKUTAJIRISHA KWA FEDHA, MALI, UTAJIRI KAMA HAUJIWEKEI HAZINA MBINGUNI NA BADALA YAKE UNAJIWEKEA HAZINA HAPA DUNIANI
>> SABABU KUU NI KWAMBA HAZINA YAKO ILIPO NDIKO UTAKAKOKUWEKO NA MOYO WAKO!! UKIWEKA HAZINA YAKO MBINGUNI MAANA YAKE MUNGU MWENYEWE NDIYE HAZINA YAKO, NA KWAMBA UNAMPENDA, UNAMTEGEMEA, NA UNAMTUMAINIA YEYE PEKE YAKE; HIVYO NA YEYE HUKUJAZA MOYO WAKO NA MAISHA YAKO YOTE ROHO WAKE NA NGUVU ZAKE!! ANAKUJAZA NA YEYE MWENYEWE NA HIVYO KUKUJAZA MALI ZA THAMANI ZA MBINGUNI KWANZA NA BAADAE FEDHA, MALI, NA UTAJIRI HAVITAPUNGUKA KAMWE KWAKO MAANA ANAJUA UTAVITUMIA KUTENDA MEMA KWENYE UFALME WAKE NA KUMPA YEYE SIFA, SHUKRANI, HESHIMA, NA UTUKUFU KAMA MAANDIKO YANENAVYO!!
6 Lakini nasema neno hili, Apandaye haba atavuna haba; apandaye kwa ukarimu atavuna kwa ukarimu.
2 Wakorintho 9:6
7 Kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni, wala si kwa lazima; maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu.
2 Wakorintho 9:7
8 Na Mungu aweza kuwajaza kila neema kwa wingi, ili ninyi, mkiwa na riziki za kila namna siku zote, mpate kuzidi sana katika kila tendo jema;
2 Wakorintho 9:8
9 kama ilivyoandikwa, Ametapanya, amewapa maskini, Haki yake yakaa milele.
2 Wakorintho 9:9
10 Na yeye ampaye mbegu mwenye kupanda, na mkate uwe chakula, atawapa mbegu za kupanda na kuzizidisha, naye atayaongeza mazao ya haki yenu;
2 Wakorintho 9:10
11 mkitajirishwa katika vitu vyote mpate kuwa na ukarimu wote, umpatiao Mungu shukrani kwa kazi yetu.
2 Wakorintho 9:11
12 Maana utumishi wa huduma hii hauwatimizii watakatifu riziki walizopungukiwa tu, bali huzidi sana kuwa na faida kwa shukrani nyingi apewazo Mungu;
2 Wakorintho 9:12
13 kwa kuwa mkijaribiwa kwa utumishi huo, wanamtukuza Mungu kwa ajili ya utii wenu katika kuikiri Injili ya Kristo, na kwa ajili ya ukarimu wenu mliowashirikisha wao na watu wote.
2 Wakorintho 9:13
14 Nao wenyewe, wakiomba dua kwa ajili yenu, wawaonea shauku kwa sababu ya neema ya Mungu iliyozidi sana ndani yenu.
2 Wakorintho 9:14
UKIWEKA HAZINA DUNIANI UNAKUWA NI MWABUDU SANAMU NA MUNGU HAWEZI KUKUTAJIRISHA KAMWE!

8) Waefeso 4:28
[28]Mwibaji asiibe tena; bali afadhali afanye juhudi, akitenda kazi iliyo nzuri kwa mikono yake mwenyewe, apate kuwa na kitu cha kumgawia mhitaji.
Let him that stole steal no more: but rather let him labour, working with his hands the thing which is good, that he may have to give to him that needeth.
>> MTOTO WA MUNGU LAZIMA AFANYE KAZI KWA BIDII, KWA MIKONO YAKE MWENYEWE, ILI AWEZE KUENDESHA MAISHA YAKE MWENYEWE, ASIMLEMEE MWINGINE, NA APATE KUWA NA KITU CHA KUMGAWIA MHITAJI
>> HII INAMAANISHA KAZI YA MIKONO YAKO MWENYEWE NDIYO INAYOONDOA UHITAJI WAKO NA ULE WA WATU ULIONAO, PAMOJA NA KUKUWEZESHA KUMGAWIA MHITAJI
>> HAPA AMESEMA UPATE KUWA NA KITU CHA KUMGAWIA MHITAJI KWA SABABU MAISHA YA MKRISTO ALIYEOKOKA NI MAISHA YA KUJITOA NA KUTOA!! UPENDO NI KUUTOA UHAI WAKO KWA AJILI YA NDUGUZO (1 YOHANA 3:16)
>> IMEANDIKWA PIA KWAMBA NI HERI KUTOA KULIKO KUPOKEA (MATENDO YA MITUME 20:35) MAISHA YA KUMPENDA YESU NI MAISHA YA KUUPENDA MWILI WAKE YESU AMBAO NDILO KANISA LAKE (WALE WALIOOKOKA), NA KUUJENGA, KUUIMARISHA, NA KUUENEZA UFALME WAKE DUNIANI!!! HUWEZI KUPENDA PASIPO KUTOA! YEYE ALIUPENDA ULIMWENGU HATA AKAMTOA MWANAWE PEKEE ILI KILA MTU AMWAMINIYE ASIPOTEE BALI AWE NA UZIMA WA MILELE (YOHANA 3:16) HUWEZI KUTOA PASIPO KUFANYA KAZI!! NA UFANYE KAZI KWA MALENGO YA UPENDO NA SIYO UBINAFSI (YAANI WEWE, FAMILIA YAKO, NA WALE RAFIKI ZAKO NA WALE UWAPENDAO TU!)

9) 2 Wathesalonike 3:7-8,10-12,14
[7]Mwajua wenyewe jinsi iwapasavyo kutufuata; kwa sababu hatukuenda bila utaratibu kwenu;
For yourselves know how ye ought to follow us: for we behaved not ourselves disorderly among you;
[8]wala hatukula chakula kwa mtu ye yote bure; bali kwa taabu na masumbufu, usiku na mchana tulitenda kazi, ili tusimlemee mtu wa kwenu awaye yote.
Neither did we eat any man's bread for nought; but wrought with labour and travail night and day, that we might not be chargeable to any of you:
[10]Kwa kuwa hata wakati ule tulipokuwapo kwenu tuliwaagiza neno hili, kwamba ikiwa mtu hataki kufanya kazi, basi, asile chakula.
For even when we were with you, this we commanded you, that if any would not work, neither should he eat.
[11]Maana twasikia kwamba wako watu kwenu waendao bila utaratibu, hawana shughuli zao wenyewe, lakini wanajishughulisha na mambo ya wengine.
For we hear that there are some which walk among you disorderly, working not at all, but are busybodies.
[12]Basi twawaagiza hao, na kuwaonya katika Bwana Yesu Kristo, watende kazi kwa utulivu na kula chakula chao wenyewe.
Now them that are such we command and exhort by our Lord Jesus Christ, that with quietness they work, and eat their own bread.
[14]Na ikiwa mtu awaye yote halishiki neno letu la waraka huu, jihadharini na mtu huyo, wala msizungumze naye, apate kutahayari;
And if any man obey not our word by this epistle, note that man, and have no company with him, that he may be ashamed.
>> KUISHI HOVYO BILA UTARATIBU NI UOVU
>> TABIA YA KUPENDA KULA CHAKULA CHA WENGINE BIRE TU BILA KUKIFANYIA KAZI NAO NI UOVU! ZINGATIA NENO "TABIA"!! SIYO KWAMBA WATU WASILE AU WASIALIKANE!!
>> BIBLIA IMEAGIZA WATOTO WA MUNGU WALIOOKOKA WAFANYE KAZI KWA MIKONO YAO WENYEWE ILI WASIMLEMEE MTU AWAYE YOTE!!
>> AGIZO LA BWANA NI HILI: KAMA MTU HATAKI KUFANYA KAZI BASI MTU HUYO ASILE CHAKULA!!
>> MAANA KUNA WATU WAENDAO BILA UTARATIBU; HAWANA SHUGHULI ZAO WENYEWE; SIKUZOTE WANAJISHUGHULISHA NA MAMBO YA WENGINE! MUNGU HAWEZI KUBARIKI NA KUWATAJIRISHA WATU KAMA HAWA WAENDAO KINYUME NA KWELI!
>> HAWA WANAAGIZWA WATENDE KAZI KWA UTULIVU NA KULA CHAKULA CHAO WENYEWE!! UVIVU NI roho YA SHETANI YA UMASKINI! KANUNI YA KUTAJIRIKA KIBIBLIA NI KUFANYA KAZI KWA BIDII, KULA CHAKULA ULICHOKITOLEA JASHO, NA KUTUMIA FEDHA NA MALI KWA MALENGO NA MAKUSUDI YA UFALME WA MUNGU NDANI YAKE KRISTO YESU BWANA NA MWOKOZI WETU!!
>> MUNGU AMEBARIKI KAZI YA MIKONO YAKO! FANYA KAZI KWA BIDII NA UAMINIFU NA UNYOOFU!! MUNGU ATAKUONGEZA NA KUKUTAJIRISHA HATUA KWA HATUA KADIRI UNAVYOZIDI KUONGEZEKA UTII WAKO WA KWELI!!

10) Mithali 13:11
[11]Mali iliyopatikana kwa haraka itapunguka;
Bali yeye achumaye kidogo kidogo atazidishiwa.
Wealth gotten by vanity shall be diminished: but he that gathereth by labour shall increase.
>> UTAJIRI WA KIBIBLIA HAUPATIKANI KWA HARAKA HARAKA
>> MUNGU HUWA ANAMBARIKI NA KUMTAJIRISHA YEYE ACHUMAYE KIDOGO KIDOGO
>> UKIWA NA MOYO WA AU roho YA KUTAKA KUTAJIRIKA HARAKA LAZIMA UTATUMIA NJIA ZA MKATO ZA SHETANI KAMA KUKOPA KWA HILA, KUDANGANYA, KUTAPELI, KUDHULUMU, KUGHUSHI, KUIBA, KUKWEPA KODI, MAGENDO, BIASHARA HARAMU ZA MADAWA YA KULEVYA AU NYARA ZA SERIKALI N.K. WENGINE WANADANGANYWA KUTUMIA USHIRIKINA, KUKANYAGA MAFUTA, KUTABIRIWA NA MANABII WA UONGO, KULA KEKI NA VYAKULA VINGINE VYA UPAKO, KUTUMIA MAJI YA BARAKA, KUTUMIA UDONGO SIJUI ULIOOMBEWA. NA UPUUZI MWINGINE WA SHETANI!! HIKI NI KIZAZI CHA WASIOTAKA KUFANYA KAZI NA WASIOTAKA KUCHUMA KIDOGO KIDOGO; NI KIZAZI CHA PESA ZA MWENDOKASI! PESA ZA CHAP CHAP!! PESA ZA "FASTER" WENYEWE WANASEMA!! WENGINE WANAAMUA KUJIUZA WAUME KWA WAKE!! MUNGU HAYUMO KWENYE UTAFUTAJI WA PESA ZA HARAKA HARAKA!! UOVU MWINGI UNAAMBATANA NA UTAFUTAJI HUU ULIOBUNIWA KUZIMU AMBAO UNAWAKAMATA WENYE TAMAA YA PESA SIKUZOTE! MTOTO WA MUNGU LAZIMA ATUBU NA KUJITAKASA MPAKA roho HII YA KUTAFUTA UTAJIRI WA HARAKA HARAKA IMTOKE KABISA NDIPO ATAKUWA TAYARI KUANZA KUTEMBEA NA MUNGU KATIKA KAZI YA MIKONO YAKE AKIKUBALI KUCHUMA KIDOGO KIDOGO NA NDIPO MUNGU ATAMBARIKI NA KUMZIDISHIA MPAKA ATAJIRIKE!!! UNAWEZA KUONA KWA NINI WENGI WAMEKWAMA!! MUNGU HUWA ANABARIKI MOYO KWANZA KABLA HAJALETA KINGINE CHOCHOTE!! LAZIMA UWE NA MOYO SAFI KWANZA (Mathayo 5:8) KABLA HUJAMWONA MUNGU KWENYE MAISHA YAKO MAENEO MENGINE!!

11) Mwanzo 12:1-3
[1]BWANA akamwambia Abramu, Toka wewe katika nchi yako, na jamaa zako, na nyumba ya baba yako, uende mpaka nchi nitakayokuonyesha;
Now the LORD had said unto Abram, Get thee out of thy country, and from thy kindred, and from thy father's house, unto a land that I will shew thee:
[2]nami nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, na kukubariki, na kulikuza jina lako; nawe uwe baraka;
And I will make of thee a great nation, and I will bless thee, and make thy name great; and thou shalt be a blessing:
[3]nami nitawabariki wakubarikio, naye akulaaniye nitamlaani; na katika wewe jamaa zote za dunia watabarikiwa.
And I will bless them that bless thee, and curse him that curseth thee: and in thee shall all families of the earth be blessed.
>> MUNGU ALIMWAMBIA IBRAHIMU KUWA "......NITAKUBARIKI......NAWE UWE BARAKA!!" (MST 2) [ BLESSED TO BLESS]
>> Wagalatia 3:6-7,9
[6]Kama vile Ibrahimu alivyomwamini Mungu akahesabiwa haki.
Even as Abraham believed God, and it was accounted to him for righteousness.
[7]Fahamuni basi, ya kuwa wale walio wa imani, hao ndio wana wa Ibrahimu.
Know ye therefore that they which are of faith, the same are the children of Abraham.
[9]Basi hao walio wa imani hubarikiwa pamoja na Ibrahimu aliyekuwa mwenye imani.
So then they which be of faith are blessed with faithful Abraham.
>> SISI TULIOMWAMINI YESU NA KUOKOKA (KUHESABIWA HAKI) TUMEBARIKIWA PAMOJA NA IBRAHIMU BABA YETU WA IMANI
>> MPANGO WA MUNGU ULIKUWA KWAMBA AMBARIKI IBRAHIMU A KISHA IBRAHIMU AWE BARAKA KWA MATAIFA YOTE YA ULIMWENGU
>> SISI PIA TUMEBARIKIWA KWA BARAKA ZOTE ZA ROHONI KATIKA ULIMWENGU WA ROHO NDANI YAKE KRISTO YESU BWANA NA MWOKOZI WETU ILI NASI TUWE BARAKA KWA ULIMWENGU WOTE!!
>> MUNGU HATUBARIKI SISI ILI TUHODHI NA KULIMBIKIZA BARAKA BALI AMETUBARIKI SISI KWA NAMNA ZOTE NA KATIKA MAMBO YOTE ILI TUWE BARAKA VIVYO HIVYO KWA WATU WOTE KATIKA NAMNA ZOTE NA MAMBO YOTE!!
1. Ametubari kiroho (blessed us spiritually) ili tuwe baraka kiroho kwa watu wote
2. Ametubariki kiakili (blessed us mentally) ili tuwe baraka kiakili kwa watu wote
3. Ametubariki kihisia ( blessed us emotionally) ili tuwe baraka kihisia kwa watu wote
4. Ametubariki kimwili (blessed us physically) ili tuwe baraka kwa watu wote kimwili
5. Ametubariki kifedha (blessed us financially) ili tuwe baraka kifedha kwa watu wote
6. Ametubariki kwa mali na vitu (blessed us materially) ili tuwe baraka kwa watu wote kwa mali na vitu
7. Ametubariki kijamii (blessed us socially) ili tuwe baraka kwa watu wote kwenye jamii tulizomo ulimwenguni
>> HII NDIYO MAANA YA KUANGAZA!!
Isaya 60:1-3
[1]Ondoka, uangaze; kwa kuwa nuru yako imekuja,
Na utukufu wa BWANA umekuzukia.
Arise, shine; for thy light is come, and the glory of the LORD is risen upon thee.
[2]Maana, tazama, giza litaifunika dunia,
Na giza kuu litazifunika kabila za watu;
Bali BWANA atakuzukia wewe,
Na utukufu wake utaonekana juu yako.
For, behold, the darkness shall cover the earth, and gross darkness the people: but the LORD shall arise upon thee, and his glory shall be seen upon thee.
[3]Na mataifa wataijilia nuru yako,
Na wafalme kuujia mwanga wa kuzuka kwako.
And the Gentiles shall come to thy light, and kings to the brightness of thy rising.
>> MATHAYO NAYE AKASEMA;
Mathayo 5:14,16
[14]Ninyi ni nuru ya ulimwengu. Mji hauwezi kusitirika ukiwa juu ya mlima.
Ye are the light of the world. A city that is set on an hill cannot be hid.
[16]Vivyo hivyo nuru yenu na iangaze mbele ya watu, wapate kuyaona matendo yenu mema, wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni.
Let your light so shine before men, that they may see your good works, and glorify your Father which is in heaven.
>> BARAKA YA BWANA HUTAJIRISHA (MITHALI 10:22) NA HIVYO SISI TULIOBARIKIWA NDANI YAKE KRISTO YESU TUMETAJIRISHWA ILI TUUTAJIRISHE ULIMWENGU ULIO GIZANI KWENYE DHAMBI
>> KAMA HILO HALIFANYIKI HUO NI UPUNGUFU KWETU AMBAO LAZIMA UTUBIWE NA UONDOKE!! HUU NDIO UAMSHO WA KWELI AMBAO UTAUPINDUA ULIMWENGU KICHWA CHINI MIGUU JUU! YOTE YANAWEZEKANA KWA MUNGU! HAKUNA NENO GUMU ASILOLIWEZA! NA YOTE YAWEZEKANA KWAKE YEYE AAMINIYE!! HUKU NDIKO KUWAFANYA MATAIFA YOTE KUWA WANAFUNZI!!!
■ INGAWA YAPO MENGI MNO ZAIDI KUHUSU UTAJIRI WA KIBIBLIA NAONA NIISHIE HAPA KWA LEO! NIKIJALIWA NITAENDELEA WAKATI MWINGINE!

Tags
MAFUNDISHO