ONDOA KWENYE MSAMIATI WAKO NENO "HAIWEZEKANI"

 


*"ONDOA KWENYE MSAMIATI WAKO NENO "HAIWEZEKANI"* 

Luka 18:27

[27]Akasema, *Yasiyowezekana kwa wanadamu yawezekana kwa Mungu.* 

And he said, The things which are impossible with men are possible with God.

Luka 1:37

[ *37]kwa kuwa hakuna neno lisilowezekana kwa Mungu.* 

For with God nothing shall be impossible.

Marko 10:27

[27]Yesu akawakazia macho, akasema, *Kwa wanadamu haiwezekani, bali kwa Mungu sivyo; maana yote yawezekana kwa Mungu.* 

And Jesus looking upon them saith, With men it is impossible, but not with God: for with God all things are possible.

Marko 9:23

[23]Yesu akamwambia, *Ukiweza! Yote yawezekana kwake aaminiye.* 

Jesus said unto him, If thou canst believe, all things are possible to him that believeth.

Mathayo 19:26

[26]Yesu akawakazia macho, akawaambia, *Kwa wanadamu hilo haliwezekani; bali kwa Mungu yote yawezekana.* 

But Jesus beheld them, and said unto them, With men this is impossible; but with God all things are possible.

Mathayo 17:20

[ *20]Yesu akawaambia, Kwa sababu ya upungufu wa imani yenu. Kwa maana, amin, nawaambia, Mkiwa na imani kiasi cha punje ya haradali mtauambia mlima huu, Ondoka hapa uende kule; nao utaondoka;* *wala halitakuwako neno lisilowezekana kwenu.* 

And Jesus said unto them, Because of your unbelief: for verily I say unto you, If ye have faith as a grain of mustard seed, ye shall say unto this mountain, Remove hence to yonder place; and it shall remove; and nothing shall be impossible unto you.

>> UMEUAMBIA MLIMA UONDOKE HALAFU UNAJIULIZA MBONA MLIMA HAUONDOKI??!! ( *HAUAMINI!!!* )

>> JE! UNALALAMIKIA MLIMA AU MILIMA KWENYE NDOA YAKO (MKEO/MU.EO), KWA WANAO, NDUGUZO, KANISA, UKRISTO, TAIFA, UCHUMI, N.K.??!! *(HAUAMINI!!!)*

>> KAMA UNGELIAMINI USINGEKUWA UNAONA MATATIZO TU, MEEENGIII NA MAKUUUUBWA!!!, BALI UNGEKUWA UNAMSIFU, UNAMTUKUZA NA KUMSHUKURU MUNGU KWAMBA MATATIZO YAMEKWISHA/ YAMEKOMA/ YAMEONDOKA KWENYE NDOA YAKO, KWA WANAO, KWA WASHIRIKA WAKO, KANISANI KWAKO, KWENYE TAIFA LAKO, N.K. MAANA UNGEKUWA UNAONA "SULUHISHO" AMA "UTATUZI" TAYARI!!! UNGELIKUWA UNAYO MAJIBU TAYARI MAANA ULISHAOMBA NA KUAMINI NA KUPOKEA!!!

1 Yohana 5:14-15

[14]Na huu ndio ujasiri tulio nao kwake, ya kuwa, tukiomba kitu sawasawa na mapenzi yake, atusikia. 

And this is the confidence that we have in him, that, if we ask any thing according to his will, he heareth us:

[ *15]Na kama tukijua kwamba atusikia, tuombacho chote, twajua kwamba tunazo zile haja tulizomwomba* . 

And if we know that he hear us, whatsoever we ask, we know that we have the petitions that we desired of him.

Marko 11:23-24

[23]Amin, nawaambia, *Ye yote atakayeuambia mlima huu, Ng’oka ukatupwe baharini, wala asione shaka moyoni mwake, ila aamini kwamba hayo asemayo yametukia, yatakuwa yake.* 

For verily I say unto you, That whosoever shall say unto this mountain, Be thou removed, and be thou cast into the sea; and shall not doubt in his heart, but shall believe that those things which he saith shall come to pass; he shall have whatsoever he saith.

[24]Kwa sababu hiyo nawaambia, *Yo yote myaombayo mkisali, aminini ya kwamba mnayapokea, nayo yatakuwa yenu.* 

Therefore I say unto you, What things soever ye desire, when ye pray, believe that ye receive them, and ye shall have them.

>> Waebrania 11:6

[ *6]Lakini pasipo imani haiwezekani kumpendeza; kwa maana mtu amwendeaye Mungu lazima aamini kwamba yeye yuko, na kwamba huwapa thawabu wale wamtafutao.* 

But without faith it is impossible to please him: for he that cometh to God must believe that he is, and that he is a rewarder of them that diligently seek him.

>> HUWEZI KAMWE KUMSHINDA SHETANI, MKUU WA ULIMWENGU HUU WALA HUWEZI KUUSHINDA ULIMWENGU HUU KAMWE PASIPO IMANI!!!

1 Yohana 5:4

[4]Kwa *maana kila kitu kilichozaliwa na Mungu huushinda ulimwengu; na huku ndiko kushinda kuushindako ulimwengu, hiyo imani yetu.* 

For whatsoever is born of God overcometh the world: and this is the victory that overcometh the world, even our faith.

>> USHINDI WA MTAKATIFU UPO KWENYE KUAMINI!!!( KUMWAMINI YESU NA KUMTUMAINI KILA IITWAPO SASA, KILA MAHALI, WAKATI WOTE, NA KATIKA HALI ZOTE NA MAZINGIRA YOTE SIKUZOTE!!!

Wagalatia 5:6

[6]Maana katika Kristo Yesu kutahiriwa hakufai neno, wala kutokutahiriwa, bali imani itendayo kazi kwa upendo. 

For in Jesus Christ neither circumcision availeth any thing, nor uncircumcision; but faith which worketh by love.

>> IMANI YA YESU INATENDA KAZI KWA UPENDO!! YAANI, PASIPO UPENDO KAMA 1 KOR 13:4-8 NA MAANDIKO MENGINE YALIVYOUELEZEA, IMANI YAKO HAIWEZI KUFANYA KAZI WALA KULETA MATOKEO YEYOTE!! UPENDO WA MUNGU NDIYO NGUVU YA IMANI YA YESU KRISTO!!! NA HAPA NDIPO PENYE USHINDI DHIDI YA ULIMWENGU HUU NA MKUU WA ULIMWENGU HUU!! UBARIKIWE

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post