BARAKA YA BWANA KILA MWAKA MPYA??!!
Kile kinachoitwa Baraka ya Bwana ni;
1. KILE CHEMA, KIZURI, CHA KUFAA, SAFI, CHA KUPENDEZA, BORA, CHA KWELI, CHA MILELE, CHA KUFAA, NA KINACHOHITAJIKA, 1) ANACHOKUFANYIA YEYE MWENYEWE MUNGU, AU 2) KUKUPATIA, AU 3) KUFANYA KWA AJILI YAKO, NA 4) KINACHOMPA YEYE UTUKUFU, SIFA, SHUKRANI, NA HESHIMA, SAWASAWA NA KUSUDI LAKE LA MILELE KWAKO KATIKA KRISTO YESU BWANA NA MWOKOZI WETU!!
2. HAIWI BARAKA YA BWANA MPAKA IANZIE KWAKE MWENYEWE, KWENYE NENO LAKE, AMBALO LINAELEZA NA KUFUNUA MAPENZI YAKE YOTE KWAKO, NDANI YA KRISTO YESU ( ISA 55:10-11)
3. KWA HIVYO UTAONA KWAMBA " UTII WA KWELI ( NENO)" NDIO UFUNGUO MUHIMU SANA, NA WA LAZIMA, NA PENGINE WA PEKEE UNAOKUHAKIKISHIA WEWE BARAKA YA BWANA ROHONI MWAKO, AKILINI MWAKO, KWENYE HISIA ZAKO, MWILINI MWAKO, KWENYE FEDHA ZAKO (HEMA AU KAZI YA MIKONO YAKO), KWENYE KUPATA NA KUMILIKI MALI NA VITU, NA KIJAMII PIA! Biblia inasema, "1 Samweli 15:22
[22]Naye Samweli akasema,
je! BWANA huzipenda sadaka za kuteketezwa na dhabihu
Sawasawa na kuitii sauti ya BWANA?
Angalia, kutii ni bora kuliko dhabihu,
Na kusikia kuliko mafuta ya beberu.
And Samuel said, Hath the LORD as great delight in burnt offerings and sacrifices, as in obeying the voice of the LORD? Behold, to obey is better than sacrifice, and to hearken than the fat of rams."
>> UTII NI BORA KULIKO SADAKA ZOZOTE ZILE!! SADAKA SIYO MIRACLE FORMULA YA BARAKA KAMA WASIOMJUA MUNGU WANAVYOFUNDISHA NA KUDANGANYA WENGI!! BALI UTII!!! SAULI ALITUMWA NA MUNGU AKAUE WAAMALEKI WOTE, MKUBWA KWA MDOGO, MJAMZITO KWA MTOTO MCHANGA, NA WANYAMA WOTE!! SAULI HAKUFANYA HIVYO AKALETA MALI, NA VITU, NA WANYAMA, NA AGAGI AKIWA HAI, ETI AMTOLEE MUNGU SADAKA!! MUNGU AKASEMA UTII NI BORA KULIKO SADAKA!! SAULI AKIWA AMEJAA MALI NA VITU AKAKATALIWA NA SADAKA ZAKE ZIKAKATALIWA PIA KAMA YANENAVYO MAANDIKO:
●●●Mithali 21:27
[27]Sadaka ya wasio haki ni chukizo;
Si zaidi sana ailetapo mwenye nia mbaya!
The sacrifice of the wicked is abomination: how much more, when he bringeth it with a wicked mind?
●●●Mithali 15:8
[8]Sadaka ya mtu mbaya ni chukizo kwa BWANA;
Bali maombi ya mtu mnyofu ni furaha yake.
The sacrifice of the wicked is an abomination to the LORD: but the prayer of the upright is his delight.
●●●11 Huu wingi wa sadaka zenu mnazonitolea una faida gani? Asema Bwana. Nimejaa mafuta ya kafara za kondoo waume, na mafuta ya wanyama walionona; nami siifurahii damu ya ng'ombe wala ya wana-kondoo wala ya mbuzi waume.
Isaya 1:11
12 Mjapo ili kuonekana mbele zangu, ni nani aliyetaka neno hili mikononi mwenu, kuzikanyaga nyua zangu?
Isaya 1:12
13 Msilete tena matoleo ya ubatili; uvumba ni chukizo kwangu; mwezi mpya na sabato, kuita makutano; siyawezi maovu hayo na makutano ya ibada.
Isaya 1:13
>> KAMA UNATENDA MAOVU, KAMA WEWE NI MTENDA DHAMBI, KAMA WEWE HUTAKI KUTUBU, KUMWAMINI YESU NA KUOKOKA, SADAKA ZAKO NI CHUKIZO KWA MUNGU! UNATAKA UJIHESABIE HAKI KUPITIA SADAKA, MATOLEO, NA MICHANGO YAKO HUKU MOYO WAKO UKO MBALI NA MUNGU??!!
Luka 11:39-42
[39]Bwana akamwambia, Ninyi Mafarisayo mwasafisha kikombe na sahani kwa nje, lakini ndani yenu mmejaa unyang’anyi na uovu.
And the Lord said unto him, Now do ye Pharisees make clean the outside of the cup and the platter; but your inward part is full of ravening and wickedness.
[40]Enyi wapumbavu; aliyevifanya vya nje, siye yeye aliyevifanya vya ndani pia?
Ye fools, did not he that made that which is without make that which is within also?
[41]Lakini, toeni sadaka vile vya ndani, na tazama, vyote huwa safi kwenu.
But rather give alms of such things as ye have; and, behold, all things are clean unto you.
[42]Lakini, ole wenu, Mafarisayo, kwa kuwa mwatoa zaka za mnanaa na mchicha na kila mboga, na huku mwaacha mambo ya adili, na upendo wa Mungu; iliwapasa kuyafanya hayo ya kwanza, bila kuyaacha hayo ya pili.
But woe unto you, Pharisees! for ye tithe mint and rue and all manner of herbs, and pass over judgment and the love of God: these ought ye to have done, and not to leave the other undone.
>> TOA SADAKA MOYO NA MAISHA YAKO YOTE KWA YESU UOKOKE, NDIPO UTAONA UTIMILIFU WA ANDIKO HILI HATUA KWA HATUA MAISHANI MWAKO KADIRI UTII WAKO UNAVYOONGEZEKA!!!
Waefeso 1:3
[3]Atukuzwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, aliyetubariki kwa baraka zote za rohoni, katika ulimwengu wa roho, ndani yake Kristo;
Blessed be the God and Father of our Lord Jesus Christ, who hath blessed us with all spiritual blessings in heavenly places in Christ:
>> UKIWA NDANI YA YESU UMEBARIKIWA KWA BARAKA ZOTE ZA ROHONI TAYARI KATIKA ULIMWENGU WA ROHO!! BARAKA ZOTE NI ZAKO TAYARI KATIKA ULIMWENGU WA ROHO! HAUTABARIKIWA MAANA TAYARI UMEKWISHABARIKIWA!! NI UTII WAKO WA KWELI KUPITIA MAISHA YA IMANI NDIO UNAOMPELEKEA MUNGU AMSETE SHETANI CHINI YA MIGUU YAKO UPESI NA KUMUONDOA KWENYE MAENEO YOTE ALIKOJICHIMBIA KWENYE MAISHA YAKO!!
●●●Warumi 16:19-20
[19]Maana utii wenu umewafikilia watu wote; basi nafurahi kwa ajili yenu, lakini nataka ninyi kuwa wenye hekima katika mambo mema, na wajinga katika mambo mabaya.
For your obedience is come abroad unto all men. I am glad therefore on your behalf: but yet I would have you wise unto that which is good, and simple concerning evil.
[20]Naye Mungu wa amani atamseta Shetani chini ya miguu yenu upesi.
Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo na iwe pamoja nanyi. [Amina.]
And the God of peace shall bruise Satan under your feet shortly. The grace of our Lord Jesus Christ be with you. Amen.
>> UTII WAKO UJULIKANE NA WATU WOTE
>> BWANA YESU ATAKUFURAHIA (UTAWEKA TABASAMU USONI PAKE)
>> UWE NA HEKIMA KATIKA MAMBO MEMA
>> UWE MJINGA (IGNORANT) KATIKA MAMBO MABAYA
>> NDIPO UTAONA BARAKA ZA BWANA, AMBAZO NI ZAKO TAYARI, ZIKIDHIHIRIKA MAISHANI
MWAKO HATUA KWA HATUA PASIPO KIKWAZO CHOCHOTE MAANA MUNGU AMEMSETA SHETANI CHINI YA MIGUU YAKO!!! YAANI AMEKUINUA JUU YA SHETANI NA KUMTIA CHINI YAKO KIMAMLAKA!!
>> HAPA NDIPO KILA UKITAKACHO KIPO KINASUBIRI AMRI YAKO TU (EVERYTHING NOW ANSWERS TO YOUR COMMAND IN THE NAME OF JESUS)
>> KAMA ALIYEKUTABIRIA MAFANIKIO, KUINULIWA, NA KUSHINDA NI MTUMISHI WA KWELI WA MUNGU YAKUPASA UJUE KUWA HII NDIYO NJIA YA KUTIMIA KWA UNABII HUO!! NI NJIA YA UTII!! NI NJIA YA UNYENYEKEVU KWA KUJITIA CHINI YA MAMLAKA YA NENO NA ROHO WAKE MTAKATIFU!! ISAYA ANATUFUNGIA HILI ANDIKO KWA KUSEMA:
Isaya 1:19-20
[19]Kama mkikubali na kutii mtakula mema ya nchi;
If ye be willing and obedient, ye shall eat the good of the land:
[20]bali kama mkikataa na kuasi mtaangamizwa kwa upanga; maana kinywa cha BWANA kimenena haya.
But if ye refuse and rebel, ye shall be devoured with the sword: for the mouth of the LORD hath spoken it.
>> USIDANGANYWE NA NABII ZA UONGO ZA KILA MWAKA MPYA!! LEARN THE PROCESS (JIFUNZE MCHAKATO NA UUFUATE)
Habakuki 2:2-3
[2]BWANA akanijibu, akasema, Iandike njozi ukaifanye iwe wazi sana katika vibao, ili aisomaye apate kuisoma kama maji.
And the LORD answered me, and said, Write the vision, and make it plain upon tables, that he may run that readeth it.
[3]Maana njozi hii bado ni kwa wakati ulioamriwa, inafanya haraka ili kuufikilia mwisho wake, wala haitasema uongo; ijapokawia, ingojee; kwa kuwa haina budi kuja, haitakawia.
For the vision is yet for an appointed time, but at the end it shall speak, and not lie: though it tarry, wait for it; because it will surely come, it will not tarry.