UMEWAHI KUIFIKIRIA NDOA HIVI??!!



NDOA KWENYE SHARED WHATSAPP STATUSES 

[15/12, 14:28] JESUS IS LORD: Mwanzo 2:24

[24]Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja. 

Therefore shall a man leave his father and his mother, and shall cleave unto his wife: and they shall be one flesh.

>> NDOA KIBIBLIA NI MWANAMKE NA MWANAMUME KUONDOKA KWA WAZAZI WAO, KUAMBATANA, NA KUWA MWILI MMOJA

[15/12, 14:32] JESUS IS LORD: 24 Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja. 

(Mwanzo 2:24)

25 Nao walikuwa uchi wote wawili, Adamu na mkewe, wala hawakuona haya. (Mwanzo 2:25)

>> M/MUME NA M/MKE WANAPOVULIANA NGUO NA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA HAPO WAMEKUWA MWILI MMOJA TAYARI NA WAMEOANA

[15/12, 14:36] JESUS IS LORD: 24 Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja. 

(Mwanzo 2:24)

25 Nao walikuwa uchi wote wawili, Adamu na mkewe, wala hawakuona haya. (Mwanzo 2:25)

>> WAKIVULIANA NGUO NA KUSHIRIKI " TENDO LA NDOA" HALAFU WASIENDELEE KUISHI KAMA MUME NA MKE HAPO WANATENDA DHAMBI

[15/12, 14:38] JESUS IS LORD: 24 Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja. 

(Mwanzo 2:24)

25 Nao walikuwa uchi wote wawili, Adamu na mkewe, wala hawakuona haya. (Mwanzo 2:25)

>> WAZEE WA ZAMANI WALIPOWAOZA NDOA YA MKEKA WALIOKAMATWA KWENYE UZINZI WALIKUWA SAHIHI MAANA WAMEKUWA MWILI MMOJA TAYARI

[15/12, 14:41] JESUS IS LORD: 24 Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja. 

(Mwanzo 2:24)

25 Nao walikuwa uchi wote wawili, Adamu na mkewe, wala hawakuona haya. (Mwanzo 2:25)

>> WANAOZINI MAKANISANI WAKIJULIKANA AU KUKAMATWA NA USHAHIDI UKIWEPO, WASITENGWE BALI WAOZWE HAPO HAPO MAANA WAMESHAKUWA MWILI MMOJA!!

[15/12, 14:45] JESUS IS LORD: 24 Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja. 

(Mwanzo 2:24)

25 Nao walikuwa uchi wote wawili, Adamu na mkewe, wala hawakuona haya. (Mwanzo 2:25)

>> KUWATENGA WALIOKWISHA KUWA MWILI MMOJA NI KUVUNJA NDOA NA KUSHIRIKI DHAMBI YA KUKIUKA NENO LA MUNGU

[15/12, 14:48] JESUS IS LORD: 24 Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja. 

(Mwanzo 2:24)

25 Nao walikuwa uchi wote wawili, Adamu na mkewe, wala hawakuona haya. (Mwanzo 2:25)

>> WALIOZINI WAMEKUWA. WILI MMOJA SASA KINACHOTAKIWA NI KUWASAIDIA 1) WATOKE KWA WAZAZI WAO, 2) NA KISHA WAAMBATANE KUISHI PAMOJA HADHARANI NA SI KWA KIFICHO TENA

[15/12, 14:51] JESUS IS LORD: 24 Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja. 

Mwanzo 2:24

25 Nao walikuwa uchi wote wawili, Adamu na mkewe, wala hawakuona haya. 

Mwanzo 2:25

>> KAMA HAWATAKI KUAMBATANA KWA KUISHI KAMA MUME NA MKE WAFUKUZWE KANISANI MAANA KUMBE WANATAKA KUNG'ANG'ANIA UZINZI

[15/12, 14:54] JESUS IS LORD: 1 Wakorintho 7:2

[2]Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe. 

Nevertheless, to avoid fornication, let every man have his own wife, and let every woman have her own husband.

>> MUNGU AMEWEKA NDOA IWE TIBA YA ZINAA! ILI USIZINI OA AU OLEWA, KWA NINI UJIFICHE FICHE? KUJIFICHA NI UOVU, WEKA MAMBO HADHARANI UWE SALAMA KWENYE NDOA

[15/12, 14:59] JESUS IS LORD: 1 Wakorintho 7:2

[2]Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe. 

Nevertheless, to avoid fornication, let every man have his own wife, and let every woman have her own husband.

>> ILI KUKWEPA ZINAA WEWE M/ MUME OA, NA WEWE M/MKE OLEWA! ZINAA NI NYIE KUWA MWILI MMOJA PASIPO KUONDOKA KWA WAZAZI WENU NA KUAMBATANA KUISHI KAMA MKE NA MUME!

[15/12, 15:02] JESUS IS LORD: 1 Wakorintho 6:15

[15]Je! Hamjui ya kuwa miili yenu ni viungo vya Kristo? Basi nivitwae viungo vya Kristo na kuvifanya viungo vya kahaba? Hasha! 

Know ye not that your bodies are the members of Christ? shall I then take the members of Christ, and make them the members of an harlot? God forbid.

>> UNAYESHIRIKI NAYE TENDO LA NDOA UMEKWISHAUNGANIKA NAYE NA KUWA MWILI MMOJA!

[15/12, 15:05] JESUS IS LORD: 1 Wakorintho 6:16

[16]Au hamjui ya kuwa yeye aliyeungwa na kahaba ni mwili mmoja naye? Maana asema, Wale wawili watakuwa mwili mmoja. 

What? know ye not that he which is joined to an harlot is one body? for two, saith he, shall be one flesh.

>> WALIOUNGANA NA KUWA MWILI MMOJA, LAZIMA WAAMBATANE NA KUISHI PAMOJA KAMA MKE NA MUME, MAANA WAMECHAGUA HIVYO WAO WENYEWE!!

[15/12, 15:07] JESUS IS LORD: 1 Wakorintho 6:16

[16]Au hamjui ya kuwa yeye aliyeungwa na kahaba ni mwili mmoja naye? Maana asema, Wale wawili watakuwa mwili mmoja. 

What? know ye not that he which is joined to an harlot is one body? for two, saith he, shall be one flesh.

>> KUWAZUIA WASIISHI PAMOJA AU KUWARUHUSU WAISHI KILA MMOJA KIVYAKE BAADA YA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA NI KUIPA NGUVU DHAMBI NA KUISHIRIKI HIYO DHAMBI!

[15/12, 15:09] JESUS IS LORD: Mithali 6:32

[32]Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; 

Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake. 

But whoso committeth adultery with a woman lacketh understanding: he that doeth it destroyeth his own soul.

>> KWA KUWA ANAYEZINI HANA AKILI KABISA, KULE KULAZIMISHWA KUINGIA KWENYE NDOA ALIYOICHAGUA MWENYEWE KUTAMPA AKILI NA KUIPONYA NAFSI YAKE NA MAUTI!!

[15/12, 15:14] JESUS IS LORD: Malaki 2:16

[16]Maana mimi nakuchukia kuachana, asema BWANA, Mungu wa Israeli; naye aifunikizaye nguo yake kwa udhalimu namchukia, asema BWANA wa majeshi; basi jihadharini roho zenu, msije mkatenda kwa hiana. 

For the LORD, the God of Israel, saith that he hateth putting away: for one covereth violence with his garment, saith the LORD of hosts: therefore take heed to your spirit, that ye deal not treacherously.

>> MUNGU ANACHUKIA KUWA MWILI MMOJA NA KISHA KUACHANA, HUO NI UZINZI NA UASI

[15/12, 15:16] JESUS IS LORD: NDOA NI WAWILI M/MUME NA M/MKE KUACHA WAZAZI WAO, KUAMBATANA,  NA KUWA MWILI MMOJA!!

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post