UHURU HALISI NI HUU



UHURU WA KWELI NI WA MILELE 

Yohana 8:34

[34]Yesu akawajibu, Amin, amin, nawaambia, Kila atendaye dhambi ni mtumwa wa dhambi. 

New International Version

Jesus replied, “Very truly I tell you, everyone who sins is a slave to sin.

>> MTENDA DHAMBI HAUKO HURU BADO DHAMBI INAKUTUMIKISHA roho, nafsi, na mwili wako!!

[09/12, 14:59] JESUS IS LORD: "8 atendaye dhambi ni wa Ibilisi; kwa kuwa Ibilisi hutenda dhambi tangu mwanzo. Kwa kusudi hili Mwana wa Mungu alidhihirishwa, ili azivunje kazi za Ibilisi."(1 Yohana 3:8)

>> MTENDA DHAMBI UHURU ULIONAO NI UHURU WA KUITUMIKIA DHAMBI MAISHANI MWAKO ILIYOKUTEKA NA KUKUFUNGA!!

[09/12, 15:01] JESUS IS LORD: Dhambi ni roho inayokaa na kuishi rohoni (moyoni) mwako! Hiyo roho ya dhambi ndiyo inayokutambulisha wewe kuwa ni mtenda dhambi, maana unafanya na kutenda kama hiyo roho inavyokuongoza! Mtu ni roho mwenye nafsi na anaishi kwenye mwili! Dhambi iliyo ndani yako imekutenga mbali na Mungu Mtakatifu!!

[09/12, 15:02] JESUS IS LORD: 22 Lakini sasa mkiisha kuwekwa huru, na kuwa mbali na dhambi, na kufanywa watumwa wa Mungu, mnayo faida yenu, ndiyo kutakaswa, na mwisho wake ni uzima wa milele. 

Warumi 6:22

>> UHURU WA BIBLIA NI UHURU MBALI NA DHAMBI, UNAOPELEKEA UHURU MBALI NA MAGONJWA YOTE! UHURU HUU UNAPATIKANA KWA KUMWAMINI YESU NA KUOKOKA!!

[09/12, 15:04] JESUS IS LORD: "22 Lakini sasa mkiisha kuwekwa huru, na kuwa mbali na dhambi, na kufanywa watumwa wa Mungu, mnayo faida yenu, ndiyo kutakaswa, na mwisho wake ni uzima wa milele."(Warumi 6:22)

>> YESU AKIKUWEKA HURU ANAKUPA MAISHA YA MILELE YASIYOHARIBIKA!! YAANI, ANAKUTENGA NA MAUTI MILELE!! ANAKUWEKA HURU MBALI NA MAUTI!! MWILI UTAKUFA LAKINI WEWE UTAISHI MILELE PAMOJA NAYE MBINGUNI!

[09/12, 15:05] JESUS IS LORD: 14 Basi, kwa kuwa watoto wameshiriki damu na mwili, yeye naye vivyo hivyo alishiriki yayo hayo, ili kwa njia ya mauti amharibu yeye aliyekuwa na nguvu za mauti, yaani, Ibilisi, (Waebrania 2:14)

15 awaache huru wale ambao kwamba maisha yao yote kwa hofu ya mauti walikuwa katika hali ya utumwa. (Waebrania 2:15)

>> YESU AKIKUOKOA ANAKUWEKA HURU MBALI NA HOFU YA MAUTI!!

[09/12, 15:07] JESUS IS LORD: Yohana 11:25

[25]Yesu akamwambia, Mimi ndimi huo ufufuo, na uzima. Yeye aniaminiye mimi, ajapokufa, atakuwa anaishi; 

Jesus said unto her, I am the resurrection, and the life: he that believeth in me, though he were dead, yet shall he live:

>> UKIOKOKA UJAPOKUFA MWILI WAKO HUO WEWE UTAKUWA HAI MILELE!!

[09/12, 15:09] JESUS IS LORD: Yohana 11:26

[26]naye kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele. Je! Unayasadiki hayo? 

And whosoever liveth and believeth in me shall never die. Believest thou this?

>>> UKIOKOKA, SAA IKIFIKA, WEWE UNAONDOKA TU KWENYE MWILI NA KUPELEKWA NA MALAIKA KWA YESU ILI UWE  NAYE MILELE!! KWA KUWA UNA MAISHA YA MILELE YA YESU ALIYEFUFUKA KUTOKA KWA WAFU!!

[09/12, 15:10] JESUS IS LORD: KWA YESU NI RAHA MILELE, AMANI MILELE, PUMZIKO MILELE,  FURAHA MILELE,  KIBALI MILELE,  NGUVU MILELE,  NEEMA MILELE,  UZIMA MILELE,  AFYA MILELE,  MAARIFA MILELE,  HEKIMA MILELE,  BARAKA MILELE,  UTUKUFU MILELE,  WEMA MILELE,  MEMA MILELE,  REHEMA MILELE,  UFAHAMU MILELE,  UFUNUO MILELE,  UTAKATIFU MILELE,  UPENDO MILELE, UTAMU MILELE,  KURIDHIKA MILELE,  KUBURUDIKA MILELE,  KUTOSHEKA MILELE, NA KILA NENO JEMA MILELE!

[09/12, 15:11] JESUS IS LORD: KWA SHETANI NI ADHABU MILELE, TABU MILELE, AIBU MILELE, MAUMIVU MILELE, MATESO MILELE, UCHUNGU MILELE, MAJUTO MILELE, KUCHANGANYIKIWA MILELE, HASIRA MILELE, KARAHA MILELE, KUKATA TAMAA MILELE, KUPOTEZA TUMAINI MILELE, KUKOSA MSAADA MILELE, KUDHARAULIWA MILELE, KUTENGWA  NA USO WA MUNGU MILELE, MABAYA MILELE,  NJAA MILELE, KIU MILELE, KUKOSA RAHA MILELE, NA KILA NENO BAYA MILELE!!

[09/12, 15:13] JESUS IS LORD: KWA YESU KWA KUWA ULIKUBALI KUOKOKA HAPA DUNIANI; KWA SHETANI KWA KUWA ULIKATAA KUOKOKA NA ULIPOSIKIA INJILI ULICHAGUA KUIKATAA NA HUKUTAKA KUOKOKA! ULICHAGUA KUJIFICHA KWENYE VITU VISIVYOOKOA KAMA DHEHEBU LAKO, DINI YAKO, IMANI YAKO HUKU UKIENDELEA KUTE DA DHAMBI, HUKU UKIJIJUA WEWE SIYO MTAKATIFU, ILA KIBURI CHAKO KILIKUDANGANYA!!

[09/12, 15:14] JESUS IS LORD: Yohana 8:36

[36]Basi Mwana akiwaweka huru, mtakuwa huru kweli kweli. 

If the Son therefore shall make you free, ye shall be free indeed.

>> YESU ATAKUWEKA HURU KWELI KWELI! HURU KABISA! HURU MOJA KWA MOJA! KUTUBU KILA WIKI NA KILA MWEZI MMOJA KILA MWAKA NI ISHARA KWAMBA DHAMBI HAIJAWAHI KUONDOKA NDANI YAKO! "28 Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha."

Mathayo 11:28

[09/12, 15:15] JESUS IS LORD: UHURU WA KWELI NI WA MILELE 

Yohana 8:34

[34]Yesu akawajibu, Amin, amin, nawaambia, Kila atendaye dhambi ni mtumwa wa dhambi. 

New International Version

Jesus replied, “Very truly I tell you, everyone who sins is a slave to sin.

>> MTENDA DHAMBI HAUKO HURU BADO DHAMBI INAKUTUMIKISHA roho, nafsi, na mwili wako!!

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post