SOME FEW BIBLE VERSES ON PREDESTINATION

 


SOME FEW BIBLE VERSES ON PREDESTINATION

9 ambaye alituokoa akatuita kwa mwito mtakatifu, si kwa kadiri ya matendo yetu sisi, bali kwa kadiri ya makusudi yake yeye na neema yake. Neema hiyo tulipewa katika Kristo Yesu tangu milele, (2 Timotheo 1:9)
>> HII NEEMA TULIPEWA KATIKA KRISTO TANGU KABLA HAJAANZA KUUMBA

1 Peter 1:2

2 who have been chosen according to the foreknowledge of God the Father, through the sanctifying work of the Spirit, to be obedient to Jesus Christ and sprinkled with his blood: Grace and peace be yours in abundance.
2 kama vile Mungu Baba alivyotangulia kuwajua katika kutakaswa na Roho, hata mkapata kutii na kununyiziwa damu ya Yesu Kristo. Neema na amani na ziongezwe kwenu.
1 Petro 1:2
>> WAKO AMBAO MUNGU ALIWACHAGUA KWA KUTANGULIA KUWAJUA TANGU MWANZO WA UUMBAJI WAKE!

2 Timothy 1:9

9 He has saved us and called us to a holy life—not because of anything we have done but because of his own purpose and grace. This grace was given us in Christ Jesus before the beginning of time,
9 ambaye alituokoa akatuita kwa mwito mtakatifu, si kwa kadiri ya matendo yetu sisi, bali kwa kadiri ya makusudi yake yeye na neema yake. Neema hiyo tulipewa katika Kristo Yesu tangu milele,
2 Timotheo 1:9
>> NEEMA TULIYONAYO KATIKA KRISTO TULIPEWA TANGU MILELE
(TANGU KABLA DUNIA HAIJAUMBWA)
Acts 2:23

23 This man was handed over to you by God’s deliberate plan and foreknowledge; and you, with the help of wicked men, put him to death by nailing him to the cross.
23 mtu huyu alipotolewa kwa shauri la Mungu lililokusudiwa, na kwa kujua kwake tangu zamani, ninyi mkamsulibisha kwa mikono ya watu wabaya, mkamwua;
Matendo ya Mitume 2:23
>> KUSULUBIWA KWA YESU KULIKUWA NI SHAURI LILILOKUSUDIWA NA KUJULIKANA NA KUPANGWA NA MUNGU TANGU KABLA ULIMWENGU HAUJAKUWEPO!!

Acts 13:48

48 When the Gentiles heard this, they were glad and honored the word of the Lord; and all who were appointed for eternal life believed.
48 Mataifa waliposikia hayo wakafurahi, wakalitukuza neno la Bwana, nao waliokuwa wamekusudiwa uzima wa milele wakaamini.
Matendo ya Mitume 13:48
>> WAKO WALIOKUSUDIWA UZIMA WA MILELE TANGU MWANZO!!! HAO LAZIMA WATAAMINI  NA KUTUBU!

Galatians 1:15

15 But when God, who set me apart from my mother’s womb and called me by his grace, was pleased
>> MUNGU ALILITENGA KANISA TANGU KABLA HALIJAZALIWA KUTOKA TUMBONI MAMA YAKE KILA MMOJA
Jeremiah 1:5

5 “Before I formed you in the womb I knew you, before you were born I set you apart; I appointed you as a prophet to the nations.”
5 Kabla sijakuumba katika tumbo nalikujua, na kabla hujatoka tumboni, nalikutakasa; nimekuweka kuwa nabii wa mataifa.
Yeremia 1:5
>> SIYO YEREMIA TU BALI WATEULE WOTE (KANISA)
>> ALITUJUA KABLA HAJATUUMBA MATUMBONI MWA MAMA ZETU
>> ALITUOSHA NA KUTUTAKASA KABLA HATA HATUJAZALIWA!!
John 6:44

44 “No one can come to me unless the Father who sent me draws them, and I will raise them up at the last day.
44 Hakuna mtu awezaye kuja kwangu, asipovutwa na Baba aliyenipeleka; nami nitamfufua siku ya mwisho. (Yohana 6:44)
>> HAKUNA ANAYEKUJA KWA YESU ASIPOVUTWA NA BABA, HIVYO ALIOWAJUA  NA KUWACHAGUA HAO HUWAVUTA NAO HUOKOKA!

John 15:16

16 You did not choose me, but I chose you and appointed you so that you might go and bear fruit—fruit that will last—and so that whatever you ask in my name the Father will give you.
>> MUNGU NDIYE ALIYETANGULIA KUTUCHAGUA SISI TUKAOKOKA
>> SIYO SISI TULIOMCHAGUA YEYE NA KUOKOKA

Matthew 22:14

14 “For many are invited, but few are chosen.”
>> WENGI WANAALIKWA KWA NJIA YA INJILI LAKINI WATEULE KATI YAO NI WACHACHE! MUNGU ANAWAJUA WATEULE WAKE TANGU ASILI

Revelation 13:8

8 All inhabitants of the earth will worship the beast—all whose names have not been written in the Lamb’s book of life, the Lamb who was slain from the creation of the world
8 Na watu wote wakaao juu ya nchi watamsujudu, kila ambaye jina lake halikuandikwa katika kitabu cha uzima cha Mwana-Kondoo, aliyechinjwa tangu kuwekwa misingi ya dunia.
Ufunuo wa Yohana 13:8
>> YESU ALIUWAWA (CHINJWA) TANGU KABLA YA KUWEKWA MISINGI YA ULIMWENGU
>> ALIPOZALIWA TULIZALIWA MARA YA PILI, ALIPOKUFA TULIKUFA, NA ALIPOFUFUKA TULIFUFUKA, KABLA YA KUWEKWA MISINGI YA ULIMWENGU

Ephesians 1:11

11 In him we were also chosen, having been predestined according to the plan of him who works out everything in conformity with the purpose of his will,
11 na ndani yake sisi nasi tulifanywa urithi, huku tukichaguliwa tangu awali sawasawa na kusudi lake yeye, ambaye hufanya mambo yote kwa shauri la mapenzi yake.
Waefeso 1:11
>> TULICHAGULIWA TANGU ASILI SAWASAWA NA KUSUDI LAKE!!
Ephesians 1:4-5

4 For he chose us in him before the creation of the world to be holy and blameless in his sight. In love

5 he predestined us for adoption to sonship through Jesus Christ, in accordance with his pleasure and will—
4 kama vile alivyotuchagua katika yeye kabla ya kuwekwa misingi ya ulimwengu, ili tuwe watakatifu, watu wasio na hatia mbele zake katika pendo.
Waefeso 1:4

5 Kwa kuwa alitangulia kutuchagua, ili tufanywe wanawe kwa njia ya Yesu Kristo, sawasawa na uradhi wa mapenzi yake.
Waefeso 1:5

Romans 8:28-30

28 And we know that in all things God works for the good of those who love him, who have been called according to his purpose.

29 For those God foreknew he also predestined to be conformed to the image of his Son, that he might be the firstborn among many brothers and sisters.

30 And those he predestined, he also called; those he called, he also justified; those he justified, he also glorified.
28 Nasi twajua ya kuwa katika mambo yote Mungu hufanya kazi pamoja na wale wampendao katika kuwapatia mema, yaani, wale walioitwa kwa kusudi lake.
Warumi 8:28

29 Maana wale aliowajua tangu asili, aliwachagua tangu asili wafananishwe na mfano wa Mwana wake, ili yeye awe mzaliwa wa kwanza miongoni mwa ndugu wengi.
Warumi 8:29

30 Na wale aliowachagua tangu asili, hao akawaita; na wale aliowaita, hao akawahesabia haki; na wale aliowahesabia haki, hao akawatukuza.
Warumi 8:30

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post