KWA NINI TUSHEHEREKEE CHRISTMAS
Luka 2:10-11
[10]Malaika akawaambia, Msiogope; kwa kuwa mimi ninawaletea habari njema ya furaha kuu itakayokuwa kwa watu wote;
And the angel said unto them, Fear not: for, behold, I bring you good tidings of great joy, which shall be to all people.
[11]maana leo katika mji wa Daudi amezaliwa, kwa ajili yenu, Mwokozi, ndiye Kristo Bwana.
For unto you is born this day in the city of David a Saviour, which is Christ the Lord.
>> KUZALIWA YESU NI HABARI NJEMA YA FURAHA KUU KWA WOTE
>> NI HABARI NJEMA YA FURAHA KUU KWA WATU WOTE KWA KUWA SIKU KAMA YA LEO " ALIZALIWA MWOKOZI ": YUPO MWOKOZI LEO HII/ WOKOVU UNAPATIKANA LEO HII/ UKOMBOZI UNAPATIKANA LEO HII/ MKOMBOZI AMEZALIWA ULIMWENGUNI/ UHURU UNAPATIKANA LEO HII/ UPONYAJI UNAPATIKANA BURE LEO HII/UZIMA TELE UPO LEO HII/MTETEZI YUPO HAI LEO HII/ MFARIJI YUPO HAI LEO HII/KIONGOZI WA ROHO YAKO YUPO HAI LEO HII/RAFIKI WA MILELE YUPO HAI LEO HII/ MTATUZI WA MILELE YUPO HAI LEO HII/ JIBU LA MILELE YUPO HAI LEO HII/ MSHINDI WA MILELE YUPO HAI LEO HII/ ANAYEWEZA YOTE YUPO HAI LEO HII/ ANAYEKUEPUSHA NA GHADHABU YA MILELE YUPO HAI LEO HII/ MSAADA WA MILELE YUPO HAI LEO HII/ MPATANISHI ANAYEKUPATANISHA NA MUNGU YUPO HAI LEO HII/ MREJESHAJI ( RESTORER) YUPO HAI LEO HII/ ANAYEKUFUNGUA YUPO LEO HII/ ANAYEKUWEKA HURU YUPO LEO HII/ ANAYEKUTAKASA YUPO LEO HII/ NJIA, KWELI, NA UZIMA YUPO LEO HII/ ANAYEKUOSHA DHAMBI ZAKO ZOTE YUPO LEO HII/ ANAYEKUTIA NGUVU YUPO HAI LEO HII/ MWENYE KUKUPA NGUVU ZA MUNGU YUPO LEO HII/UFUFUO NA UZIMA YUPO LEO HII/MTAKATIFU WA MILELE ATAKAYEKUFANYA UWE MTAKATIFU KWA KUKUTOA DHAMBINI YUPO LEO HII/ANAYEFUFUA WAFU YUPO LEO HII/ MPONYAJI WAKO YUPO LEO HII/ HEKIMA YA MUNGU, UFAHAMU WA MUNGU, MAARIFA YA MUNGU, KICHO CHA MUNGU, SHAURI LA MUNGU, NGUVU ZA MUNGU, NA UFUNUO WA MUNGU YUPO LEO HII,
/ SIRI YA MUNGU YUPO LEO HII/NGUVU ZA GIZA HAZINA MAMLAKA KWAKO TENA UKIMWAMINI YESU LEO HII, ALIYEMSHINDA SHETANI YUPO LEO HII, ANAYECHUKIA DHAMBI YUPO LEO HII/ UPENDO WA MUNGU YUPO LEO HII/UTUKUFU WA MUNGU YUPO LEO HII/ MWANA WA MUNGU YUPO LEO HII/ MUNGU KWENYE MWILI YUPO LEO HII!!!
>> WEWE PATANA NAYE TU HUYU YESU UOKOLEWE, MWAMINI YESU HUU UOKOKE, MPOKEE MOYONI MWAKO AWE BWANA NA MWOKOZI WAKO ILI AONGOZE NA KUTAWALA MOYO NA MAISHA YAKO, MWAMINI AKUOPONYE MAGONJWA YAKO YOTE!
Matendo ya Mitume 2:38-39
[38]Petro akawaambia, Tubuni mkabatizwe kila mmoja kwa jina lake Yesu Kristo, mpate ondoleo la dhambi zenu, nanyi mtapokea kipawa cha Roho Mtakatifu.
Then Peter said unto them, Repent, and be baptized every one of you in the name of Jesus Christ for the remission of sins, and ye shall receive the gift of the Holy Ghost.
[39]Kwa kuwa ahadi hii ni kwa ajili yenu, na kwa watoto wenu, na kwa watu wote walio mbali, na kwa wote watakaoitwa na Bwana Mungu wetu wamjie.
For the promise is unto you, and to your children, and to all that are afar off, even as many as the Lord our God shall call.
>> IPONYE NYUMBA YAKO KWA KUMKARIBISHA YESU MOYONI MWAKO KRISMASI HII:
Matendo ya Mitume 16:30-31
[30]kisha akawaleta nje akasema, Bwana zangu, yanipasa nifanye nini nipate kuokoka?
And brought them out, and said, Sirs, what must I do to be saved?
[31]Wakamwambia, Mwamini Bwana Yesu, nawe utaokoka pamoja na nyumba yako.
And they said, Believe on the Lord Jesus Christ, and thou shalt be saved, and thy house.
>> UKIMWAMINI YESU ATAKUOKOA WEWE NA NYUMBA YAKO!! LAZIMA UTUBU DHAMBI ZAKO NA KUMPOKEA YESU MOYONI MWAKO AWE BWANA NA MWOKOZI WAKO!
>> PASIPO KUOKOKA UNAWEZA UKAWA UNASHEHEREKEA MAANGAMIZI YAKO MWENYEWE YANAYOWEZA KUJA MUDA WOWOTE KAMA UKIFA NA DHAMBI ZAKO!!