*Jiepushe na roho ya ujanja!!*
Mathayo 27:63
[63]wakasema, Bwana, tumekumbuka kwamba yule mjanja alisema, alip JIEPUSHE NA ROHO YA UJANJA okuwa akali hai, Baada ya siku tatu nitafufuka.
Saying, Sir, we remember that that deceiver said, while he was yet alive, After three days I will rise again.
>> YULE MJANJA=...THAT DECEIVER
Waefeso 4:14
[14]ili tusiwe tena watoto wachanga, tukitupwa huku na huku, na kuchukuliwa na kila upepo wa elimu, kwa hila ya watu, kwa ujanja, tukizifuata njia za udanganyifu.
That we henceforth be no more children, tossed to and fro, and carried about with every wind of doctrine, by the sleight of men, and cunning craftiness, whereby they lie in wait to deceive;
>> KWA UJANJA= CUNNING CRAFTINESS
>> THEY LIE IN WAIT TO DECEIVE= WAKIWA TAYARI SIKUZOTE KUDANGANYA
Genesis 3:1
[1]Now the serpent was more cunning than any beast of the field which the Lord God had made. And he said to the woman, “Has God indeed said, ‘You shall not eat of every tree of the garden’?”
1 Basi nyoka alikuwa mwerevu kuliko wanyama wote wa mwitu aliowafanya Bwana Mungu. Akamwambia mwanamke, Ati! Hivi ndivyo alivyosema Mungu, Msile matunda ya miti yote ya bustani?
Mwanzo 3:1
>> MWEREVU = MORE CUNNING
>> MDANGANYIFU WA KWANZA ALIKUWA SHETANI BUSTANINI
>> KAMUSI YANGU INATAFSIRI NENO CUNNING KAMA IFUATAVYO:
- IPA: /ˈkʌnɪŋ/
Etymology 1 ▼ show
Adjective
cunning
- Sly; crafty; clever in surreptitious behaviour.
- Synonyms: Thesaurus:wily
- (obsolete) Skillful, artful. ▼ show
- (obsolete) Wrought with, or exhibiting, skill or ingenuity; ingenious.
- cunning work
>> NENO "MJANJA" KIBIBLIA KAMA NILIVYOONYESHA KIUFUPI TAFSIRI YAKE HAPO JUU LINAELEZEA ZAIDI UDANGANYIFU!!
>> TUMEONYESHA PIA KWAMBA MDANGANYIFU WA KWANZA NI SHETANI, AMBAYE ALIANZA UDANGANYIFU PALE BUSTANINI!!
>> UDANGANYIFU WOTE CHANZO NA KIINI CHAKE NI SHETANI!!!
>> KUTUMIA FEDHA, MALI, KIPAWA, NAFASI, CHEO, MAFANIKIO, N.K. KAMA VIGEZO VYA " UJANJA" WAKO, NI KUJIVUNA, KUJIINUA, KUJIKWEZA, KUWASHUSHA WENGINE, KUWADHARAU WENGINE, N.K.
>> WADANGANYIFU DUNIANI WANATUMIA NENO "UJANJA" ILI KUHALALISHA UOVU WAO, DHULUMA ZAO, UTAPELI WAO, WIZI WAO, UNYANG'ANYI WAO, N.K.
>> NENO UJANJA LIMEKUWA LIKITUMIWA ILI KUTENGENEZA AINA YA WATU WANAOONEKANA NI WEREVU ZAIDI KWENYE JAMII KULIKO WENGINE, ILI KUWAVUTA WENGI HUKO WAKAINGIWE NA HIYO roho YA UDANGANYIFU!! UJANJA UMEKUWA NI LIFESTYLE (MTINDO WA MAISHA) AMBAPO roho HIYO INAWAFUNDISHA WALIO NAYO KUFAIDIKA NA KUNUFAIKA KUPITIA WENGINE KAMA NYOKA ALIVYONUFAIKA KWA KUMDANGANYA HAWA PALE BUSTANINI!! WAJANJA NI WAONGO! WAJANJA NI WADANGANYIFU! WAJANJA NI WALA NA WATOA RUSHWA, WAJANJA NI WAFANYA MAGENDO, WAJANJA NI WEREVU WENYE KIPAWA CHA KUJINUFAISHA KWA KUWAUMIZA WENGINE, WAJANJA NI WABINAFSI WATENDA DHAMBI, WAJANJA HUJIONA WANA AKILI ZAIDI KULIKO WENGINE INGAWA AKILI ZAO NI HIZI:
Yeremia 4:22
[22]Kwa maana watu wangu ni wapumbavu, hawanijui; ni watoto waliopungukiwa na akili, wala hawana ufahamu; ni wenye akili katika kutenda mabaya, bali katika kutenda mema hawana maarifa.
For my people is foolish, they have not known me; they are sottish children, and they have none understanding: they are wise to do evil, but to do good they have no knowledge.
>> WAJANJA WANA AKILI KATIKA KUTENDA MABAYA! WANA AKILI ZA UOVU!!
>> WAJANJA HAWANA AKILI WALA MAARIFA KATIKA KUTENDA MEMA YANAYOMPENDEZA MUNGU NA YANAYOKUBALIKA MBELE ZAKE!!
>> MJANJA AMEJIWEKA KATIKA DARAJA LA WENYE AKILI NA WEREVU TOFAUTI NA WENGINE ANAOWADHARAU, LAKINI UKWELI NI KWAMBA HILI NI DARAJA LA WAOVU WENZAKE, NA WATENDA MABAYA WENZAKE!! YAANI, WABINAFSI WENZAKE!!
>> MJANJA HUWA ANAJIINUA NA KUJIKWEZA NA KUJIVUNA, NA KAMWE HAMPI MUNGU UTUKUFU, LAKINI MCHA MUNGU NA MNYENYEKEVU HUWA ANAMPA MUNGU UTUKUFU KATIKA YOTE!! MUNGU ANAYEMWAMINI, ANAYEMTUMAINIA, NA KUMTEGEMEA SIKUZOTE!!! MCHA MUNGU HUWA ANAJISHUSHA NA KUWATANGULIZA WENGINE!! KWA MCHA MUNGU NA MNYENYEKEVU FURAHA YAKE NI WENGINE WAZIDI NA YEYE APUNGUE!!
Yohana 3:30
[30]Basi hii furaha yangu imetimia. Yeye hana budi kuzidi, bali mimi kupungua.
He must increase, but I must decrease.
>> MJANJA WA DUNIA HII HAWEZI NA WALA HATAKI KUPUNGUA, HUPENDA NA HUTAKA KUWAZIDI WENGINE SIKUZOTE!!
>> KUNA WENYE HEKIMA MBELE ZA MUNGU, WENYE KULITENDA NENO SIKUZOTE!!
Mathayo 7:24-27
[24]Basi kila asikiaye hayo maneno yangu, na kuyafanya, atafananishwa na mtu mwenye akili, aliyejenga nyumba yake juu ya mwamba;
Therefore whosoever heareth these sayings of mine, and doeth them, I will liken him unto a wise man, which built his house upon a rock:
[25]mvua ikanyesha, mafuriko yakaja, pepo zikavuma, zikaipiga nyumba ile, isianguke; kwa maana misingi yake imewekwa juu ya mwamba.
And the rain descended, and the floods came, and the winds blew, and beat upon that house; and it fell not: for it was founded upon a rock.
>> NA KUNA WAPUMBAVU (WAJANJA WAMO HUMU) AMBAO HAWAYATENDI MANENO YA MUNGU MAISHANI MWAO!!
[26]Na kila asikiaye hayo maneno yangu asiyafanye, atafananishwa na mtu mpumbavu, aliyejenga nyumba yake juu ya mchanga;
And every one that heareth these sayings of mine, and doeth them not, shall be likened unto a foolish man, which built his house upon the sand:
[27]mvua ikanyesha, mafuriko yakaja, pepo zikavuma, zikaipiga nyumba ile, ikaanguka; nalo anguko lake likawa kubwa.
And the rain descended, and the floods came, and the winds blew, and beat upon that house; and it fell: and great was the fall of it.