NOTE: Masomo haya yalikuwa ni majibu ya mjadala kwenye kundi la whatsapp ambapo ndugu mmoja alikuwa akidai mtu anaweza akawa na upendano wa ndugu lakini asiwe na upendo wa Mungu! Haya yalikuwa ni majibu ya kumuelekeza kwamba Biblia inapozungumzia ndugu haimaanishi ndugu wa kimwili bali ndugu katika mwili wa Kristo, na kwamba ndugu hawa wanapopendana kwa upendo wa Mungu uliomo ndani yao, ndipo husemwa kwamba huo ni upendano wa ndugu; Agano Jipya limeeleza hivyo kuhusu ndugu katika mwili wa Kristo, ubarikiwe.
1) WAEBRANIA 13:1 (UPENDO=UPENDANO WA NDUGU)
THEME: UPENDO WA MUNGU=UPENDANO WA NDUGU KATIKA KRISTO
HOJA: KWAMBA UPENDO WA MUNGU KWA WALIOOKOKA UNAITWA UPENDANO WA NDUGU KWA SABABU UMEELEKEZWA KWA NDUGU KATIKA KRISTO!!!
“1 Upendano wa ndugu na udumu.” (Ebr 13:1)
>>YAANI, NDUGU DUMUNI KATIKA KUPENDANA SIKUZOTE!! (PRACTISE GOD’S LOVE AMONG YOURSELVES!)
“Aramaic Bible in Plain English
Let the LOVE of the brethren continue among you.”
>>LET THE LOVE-UPENDO WA NDUGU NA UENDELEE MIONGONI MWENU
>>ULE UPENDO WA MUNGU UENDELEE, (USIKOME WALA KUPUNGUA!!) KWENU MLIOOKOKA
>>UPENDANO WA NDUGU NDIO UPENDO WA MUNGU ULIO NDANI YA ALIYEOKOKA ULIOELEKEZWA KWA NDUGUZE KATIKA KRISTO
“Good News Translation
Keep on LOVING one another as Christians.”
>>MUENDELEE KUPENDANA KAMA WAKRISTO
>>UPENDANO WA NDUGU NI MAISHA YA KUPENDANA NDUGU KATIKA KRISTO! IT IS THE PRACTICE OF LOVE AMONG BELIEVERS
>>ALIYEOKOKA HAWEZI KUPENDA ISIPOKUWA KWA UPENDO WA MUNGU
“New Revised Standard Version
Let mutual love continue.”
>> UPENDO WA NINYI KWA NINYI UENDELEE
>>UPENDO NDIO UPENDANO WA NDUGU UNAPOELEKEZWA KWA NDUGU KATIKA KRISTO (WHEN IT IS PRACTISED AMONG WALIOOKOKA)
>>UPENDANO WA NDUGU NI UPENDO WA MUNGU KIVITENDO MIONGONI MWA WALIOOKOKA WAO KWA WAO!!
2) 1 YOH 5: 1-2 (UPENDO =UPENDANO WA NDUGU)
THEME: KWAMBA UPENDO WA MUNGU UKIWA NAO LAZIMA UWAPENDE NDUGU ZAKO WALIOZALIWA MARA YA PILI KAMA WEWE KWA UPENDO HUO WA MUNGU ULIOMO NDANI YAKO; HUWEZI KUMPENDA MWENYE KUZAA HALAFU USIWAPENDE WALIOZALIWA NA YEYE
“1 Kila mtu aaminiye kwamba Yesu ni Kristo amezaliwa na Mungu. Na kila mtu ampendaye mwenye kuzaa, ampenda hata yeye aliyezaliwa na yeye. 2Katika hili twajua kwamba twawapenda watoto wa Mungu, tumpendapo Mungu, na kuzishika amri zake.” (1 Yoh 5:1-2)
>> KWAMBA KUMPENDA MUNGU ALIYEKUZAA MARA YA PILI KATIKA ROHO NDIO UPENDO WA MUNGU ULIOMIMINWA NDANI YAKO
>>KWA UPENDO HUO HUO LAZIMA UWAPENDE NDUGUZO KATIKA KRISTO WALIOZALIWA MARA YA PILI NA YEYE VILE VILE KAMA WEWE
>>HUWEZI KUWA NA UPENDO WA MUNGU (WA KUMPENDA MUNGU) HALAFU USIWE NA UPENDANO WA NDUGU (YAANI, USIWAPENDE NDUGU)
>>HUWEZI KUWA NA UPENDANO WA NDUGU VILE VILE HALAFU USIWE NA UPENDO WA MUNGUMAANA HAO NDUGUZO UNAWAPENDA KWA PENDO LA MUNGU LILILO NDANI YAKO
>>TUNAJUAJE KWAMBA TUNAWAPENDA NDUGU?? TUNAJUA KWAMBA TUNAWAPENDA NDUGU ZETU KATIKA KRISTO TUNAPOMPENDA MUNGU NA KUZISHIKA AMRI ZAKE!!
>>YAANI, UPENDO WETU KWA MUNGU UNAONEKANA AU UNAKUWA EXPRESSED KWA KUWAPENDA NDUGU ZETU WALIOOKOKA KAMA SISI
>>UPENDO WETU WA MUNGU UNADHIHIRIKA NA KUTHIBITIKA KATIKA KUWAPENDA NDUGU ZETU WALIOAMINI
>>UPENDO WA MUNGU TULIO NAO UNAJULIKANA, UNADHIHIRIKA, UNATHIBITIKA, NA KUONEKANA KIVITENDO KUPITIA VILE TUNAVYOWAPENDA NDUGU ZETU WALIOOKOKA (i.e. KUPITIA UPENDANO WETU WA NDUGU)
>>ANAYEMPENDA MUNGU KWELI KWELI ANA UPENDO KWA NDUGU ZAKE: NA NDUGU WOTE WANAPOPENDANA HIVI NDIPO TUNASEMA WANAISHI KWA UPENDANO WA NDUGU ULIOMIMINWA MIOYONI MWAO!
3) 1 YOH 4:12 (UPENDO=UPENDANO WA NDUGU)
THEME: KWAMBA KUPENDANA SISI KWA SISI NDUGU KATIKA KRISTO NDIKO KUNAFANYA MUNGU AKAE NDANI YETU; UPENDANO WA SISI NDUGU UNAMLETA MUNGU AMBAYE NI UPENDO KWETU/KATIKATI YA MAISHA YETU YOTE; KWAMBA MUNGU NI UPENDO AMBAYE YUMO NDANI YETU NA TUKIPENDANA SISI NDUGU MUNGU ANAJIDHIHIRISHA KWETU!!
“12Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote. Tukipendana, Mungu hukaa ndani yetu, na pendo lake limekamilika ndani yetu.”
>> UPENDANO WA NDUGU NI MUNGU MWENYEWE NDANI YETU AKITUONGOZA KUPENDANA SISI KWA SISI NA YEYE KUKAA NDANI YETU;
>> NA KWA KULE KUPENDANA KWETU NDUGU KATIKA KRISTO KUNATUFANYA TUWE WAKAMILIFU KATIKA PENDO LA MUNGU!!
“New International Version
No one has ever seen God; but if we love one another, God lives in us and his love is made complete in us.”
>> HUU NDIO UPENDANO WA NDUGU; KWAMBA TUKIPENDANA SISI KWA SISI MUNGU MWENYEWE (UPENDO) HUKAA NDANI YETU
>> NA KWA KUKAA KWAKE NDANI YETU ANATUKAMILISHA KATIKA PENDO!!
“New Living Translation
No one has ever seen God. But if we love each other, God lives in us, and his love is brought to full expression in us.”
>>KANISA LINALOJIKONGOJA AU KUCHECHEMEA KIROHO, KIAKILI, KIHISIA, KIMWILI, KIFEDHA, KIMALI NA VITU, NA KIJAMII LINAHITAJI UPENDANO WA NDUGU!!!
>>HUU NDIO UPENDANO WA NDUGU; YAANI, NDUGU WANAPENDANA WAO KWA WAO NA UPENDO (MUNGU) MWENYEWE ANAKAA NDANI YAO NA HIVYO HAWAWEZI KUSHINDWA KAMWE WALA KUPUNGUKIWA CHOCHOTE KWA KUWA HAMNA ANAYEMILIKI CHOCHOTE YEYE MWENYEWE BALI KILA MMOJA ANAMILIKI UPENDO NA PIA ANAMILIKIWA NA UPENDO!!!
>>WAPENDE NDUGU ZAKO KWA TENDO NA KWELI ILI UJAZWE MUNGU (UPENDO); NA KADIRI UNAVYOJAZWA UTAZIDI KUWAPENDA NDUGU KATIKA KRISTO NA KUZIDI KUJAA MUNGU!! MAANA TUKIPENDANA SISI KWA SISI (UPENDANO WA NDUGU) MUNGU (UPENDO) ANAKAA NDANI YETU!!NO LACK ANYMORE!!NO WANT ANYMORE!NO NEED ANYMORE!
4) 1 YOH 4:20 (UPENDO =UPENDANO WA NDUGU)
THEME: KWAMBA HUWEZI KUDAI UNA UPENDO WA MUNGU NDANI YAKO HUKU HUWAPENDI NDUGU ZAKO KATIKA KRISTO ULIONAO KILA SIKU NA UNAOWAONA; USSIPOWAPENDA HAO NDUGU UNAOWAONA HUWEZI KAMWE KUMPENDA MUNGU USIYEMWONA!!!
“20Mtu akisema, Nampenda Mungu, naye anamchukia ndugu yake, ni mwongo; kwa maana asiyempenda ndugu yake ambaye amemwona, hawezi kumpenda Mungu ambaye hakumwona.” (1 Yoh 4:20)
>>KWAMBA KUWAPENDA NDUGU ZAKO KATIKA KRISTO UNAOWAONA NDIO USHAHIDI KWAMBA UNAMPENDA MUNGU (UNA UPENDO WA MUNGU
>>YAANI, UPENDANO WA NDUGU NI USHAHIDI KWAMBA UNA UPENDO WA MUNGU NDANI YAKO NA KWAMBA KWELI UNAMPENDA MUNGU
>>MAANA NDUGU MNAPENDANA KWA UPENDO WA MUNGU ULIO NDANI YENU
>>HUWEZI KUWA NA UPENDO WA MUNGU NDANI YAKO KAMA HUNA UPENDO KWA NDUGU ZAKO KATIKA KRISTO UNAOWAONA,
>> NA HUWEZI PIA KUWA NA UPENDANO WA NDUGU (HUWEZI KUWAPENDA NDUGU) KAMA HUNA UPENDO WA MUNGU NDANI YAKO
>>UPENDO WA MUNGU KWA NDUGU ZAKO KATIKA KRISTO UNAOWAONA NDIO UPENDANO WA NDUGU
“New International Version
Whoever claims to love God yet hates a brother or sister is a liar. For whoever does not love their brother and sister, whom they have seen, cannot love God, whom they have not seen.
>> NI MUONGO WEWE UNAYESEMA UNAMPENDA MUNGU WAKATI HUMPENDI KIVITENDO NDUGU YAKO KATIKA KRISTO UNAYEMWONA!!!(NO LOVE FOR YOUR BROTHER OR SISTER IN CHRIST NO LOVE FOR GOD)
New Living Translation
If someone says, “I love God,” but hates a fellow believer, that person is a liar; for if we don’t love people we can see, how can we love God, whom we cannot see?”
>>UNAPOMCHUKIA NDUGUYO UNAYEMWONA MAANA YAKE HUNA UPENDO WA MUNGU NDANI YAKO
KWA KUWA HUNA UPENDO WA MUNGU NDANI YAKO NDIYO MAANA HUWEZI KUWAPENDA NDUGU, NA NDIYO MAANA UPENDANO WA NDUGU (UPENDO KWA NDUGUZO) HAUKO NDANI YAKO!! HUNA UPENDO WOWOTE BALI UMEJAA CHUKI
>>HIVYO UPENDO WA MUNGU = UPENDANO WA NDUGU
>>UPENDANO WA NDUGU IS THE PRACTISE OF LOVE AMONG THE BORN AGAIN (WALIOOKOKA)
>>UPENDANO WA NDUGU NI UPENDO WA MUNGU KIVITENDO BAINA YA, NA MIONGONI MWA WALIOOKOKA (WAO KWA WAO)- MUTUAL LOVE OF BRETHREN!!!
5) 1 YOH 4:21 (UPENDO=UPENDANO WA NDUGU)
“21Na amri hii tumepewa na yeye, ya kwamba yeye ampendaye Mungu, ampende na ndugu yake.”
>>AMRI HII TUMEPEWA NA YESU BWANA WETU; KWAMBA KILA AMPENDAYE MUNGU LAZIMA AMPENDE NDUGU YAKE
>>UPENDO WA MUNGU LAZIMA UKUPELEKEE KUMPENDA NDUGU YAKO, NA NDUGU YAKO HUYO KATIKA KRISTO VIVYO HIVYO KAMA ANAMPENDA MUNGU LAZIMA AKUPENDE WEWE NDUGU YAKE KATIKA KRISTO
>>UPENDO WA MUNGU NDANI YAKO = UPENDANO WA NDUGU UNAPOELEKEZWA KWA HAO NDUGU ZAKO
>>HUWEZI KUWA NA UPENDO WA MUNGU USIWE NA UPENDANO WA NDUGU
>>HALIKADHALIKA HUWEZI KAMWE KUWA NA UPENDANO WA NDUGU HALAFU USIWE NA UPENDO WA MUNGU NDANI YAKO
>>KWA KUWA UNAWEZA TU KUWAPENDA NDUGU ZAKO KATIKA KRISTO KWA PENDO LILE LA MUNGU LILILOMO NDANI YAKO!!
>>HIVYO UPENDO WA MUNGU = UPENDANO WA NDUGU
>>KAMA HAUNA UPENDO WA MUNGU NDANI YAKO HAUNA PIA UPENDANO WA NDUGU
>>KAMA HAUNA UPENDANO WA NDUGU HAUNA PIA UPENDO WA MUNGU NDANI YAKO
“New International Version
And he has given us this command: Anyone who loves God must also love their brother and sister.
>> YEYOTE AMPENDAYE MUNGU LAZIMA AMPENDE PIA NDUGU YAKE; KWA KUWA AMEPEWA UPENDO HUO ILI AWAPENDE NDUGU ZAKE KWA HUO
>>UPENDANO HUU WA NDUGU NI AMRI KWA KANISA NA HIVYO AMA UNAITII AU UNAIASI!!
New Living Translation
And he has given us this command: Those who love God must also love their fellow believers.
6) 1 YOH 3:11 (UPENDO WA MUNGU=UPENDANO WA NDUGU)
THEME: Upendano wa ndugu hauwezi kuutofautisha na Upendo maana ni ule ule! Tofauti pekee ni WAPI UNAELEKEZWA!! (where it is directed)
“11 Maana, hii ndiyo habari mliyoisikia tangu mwanzo, kwamba tupendane sisi kwa sisi;” (1 Yoh 3:11)
>>MZEE YOHANA HAPA ANATUKUMBUSHA AMRI MPYA!!! (Yoh 13:34-35)
>>MZEE YOHANA HAPA ANATUKUMBUSHA KUPENDANA SISI NDUGU TULIOOKOKA
>>ANATUKUMBUSHA KUUWEKA UPENDO ULIOMO NDANI YETU KWENYE VITENDO SAWASAWA NA KWELI ILIVYO ILI UWAFAIDIE NDUGU ZETU KATIKA KRISTO!!! NA HAPA NDIPO UNAITWA UPENDANO WA NDUGU!!!
1 JOHN 3:11
“Contemporary English Version
From the beginning you were told we must love each other.
>> LAZIMA TUPENDANE NDUGU – WE MUST LOVE EACH OTHER
Douay-Rheims Bible
For this is the declaration, which you have heard from the beginning, that you should love one another.
>>TUPENDANE SISI KWA SISI WAKRISTO TULIOOKOKA
Good News Translation
The message you heard from the very beginning is this: we must love one another.”
>>LAZIMA TUPENDANE SISI KWA SISI
>>HUU WOTE NI UPENDO WA NDUGU KWA NDUGU
>>UPENDANO WA NDUGU NI UPENDO WA NDUGU KWA NDUGU KATIKA MWILI WA KRISTO!!!
7) 1 YOH 3:14 (UPENDO=UPENDANO WA NDUGU)
THEME: USIPOWAPENDA NDUGU ZAKO KATIKA BWANA BADO HAUJAOKOKA/HAUNA UZIMA/UMEKUFA KIROHO; NA KWAMBA UPENDO WAKO HUO KWA NDUGU KIVITENDO NDIO UNAOTHIBITISHA KWAMBA UKO HAI KIROHO, NA NDIO UNAOITWA UPENDANO WA NDUGU!
“14Sisi tunajua ya kuwa tumepita toka mautini kuingia uzimani, kwa maana twawapenda ndugu. Yeye asiyependa, akaa katika mauti” (1 Yoh 3:14)
>>KAMA KWELI UMEOKOKA KWA KUFUFULIWA KUTOKA KWA WAFU UTAWAPENDA NDUGU KATIKA KRISTO KIVITENDO
>>YAANI, KILA NDUGU ATAMPENDA NDUGU YAKE KATIKA BWANA KIVITENDO VINGINEVYO HAJAWAHI KUOKOKA KWA MAANA UPENDO UKO HAI NA LAZIMA UONEKANE KIVITENDO KATIKA MAISHA YA KILA SIKU SIKUZOTE
>>UPENDO HUU UNAOKUWA PRACTISED NA NDUGU WALIOOKOKA NDIO UNAOITWA UPENDANO WA NDUGU KWA KUWA WANAOPENDANA NI NDUGU!!!
“New King James Version
We know that we have passed from death to life, because we love the brethren. He who does not love his brother abides in death./1 Yohana 3:14”
>> IKIWA UNAWAPENDA WALIOOKOKA WENZAKO WEWE NDIYO UNAISHI KWELI KWELI, (UKO HAI) MAANA HAO NDIO NDUGU ZAKO KATIKA KRISTO
>>LAZIMA IONEKANE NA WOTE KWAMBA UNAO UPENDANO WA NDUGU KIVITENDO!!!
>>UPENDANO WA NDUGU NI UPENDO WA MUNGU UNAOONEKANA KWENYE MAISHA YA NDUGU WALIOOKOKA WAKIPENDANA KWA DHATI WAO KWA WAO, WAKISHUHUDIWA NA WATU WOTE!!
>>NA UPENDO HUO UNAOSHUHUDIWA NA WATU WOTE NI USHAHIDI PEKEE KWAMBA HAWA KWELI WAMEOKOKA NA WAKO HAI KIROHO
>>UPENDANO WA NDUGU NI UHAI WA KANISA LA KIROHO!!! AU NI UHAI WA MTU WA ROHONI!! NI UPENDO WA MUNGU UNAOTENDA KAZI NDANI YA ALIYEOKOKA NA UNASHUHUDIWA NA WOTE (LIVE TESTIMONY!!!)
New American Standard Bible/1 John 3:14
We know that we have passed out of death into life, because we love the brothers and sisters. The one who does not love remains in death. (YOU ARE DEAD IF YOU DON’T LOVE!!)
14Sisi tunajua ya kuwa tumepita toka mautini kuingia uzimani, kwa maana twawapenda ndugu. Yeye asiyependa, akaa katika mauti. (1 Yohana 3:14)
8) 1 YOH 3:23 (UPENDO=UPENDANO WA NDUGU)
THEME: YESU ALIPOTOA AMRI MPYA ALIAMURU UPENDO WA SISI KWA SISI; NA KWAMBA UPENDANO WA NDUGU = UPENDO WA SISI KWA SISI TULIOOKOKA
“23Na hii ndiyo amri yake, kwamba tuliamini jina la Mwana wake Yesu Kristo, na kupendana sisi kwa sisi, kama alivyotupa amri.” (1Yoh 3:23)
>>TULIPEWA AMRI SISI TULIOOKOKA YA KUPENDANA SISI KWA SISI
>>AMRI YA KANISA KWENYE AGANO JIPYA NI UPENDO WA SISI KWA SISI KWENYE MAISHA YA KILA SIKU
>>KABLA HAUJAPELEKA UPENDO KOKOTE KWINGINE LAZIMA KWANZA UWAPENDE KIVITENDO NDUGUZO KATIKA KRISTO, NA WAO VILE VILE LAZIMA WAKUPENDE WEWE KIVITENDO
>>KILA NDUGU ALIYEOKOKA AKIMPENDA NDUGU YAKE KIVITENDO NDIPO HAWA NDUGU INASEMWA WANADUMU KATIKA UPENDANO WA NDUGU
>>UPENDANO WA NDUGU NI MAISHA YA WALIOOKOKA YA KILA SIKU YA KUPENDANA KWA UPENDO WA KRISTO
>>UPENDO WA MUNGU NDANI YA MWAMINI KWA NDUGU ZAKE NDIO UPENDANO WA NDUGU!!!
“New International Version
And this is his command: to believe in the name of his Son, Jesus Christ, and to love one another as he commanded us.(1 Yohana 3:23)
>> “………AND TO LOVE ONE ANOTHER AS HE COMMANDED US”
>> “……NA KUPENDANA SISI KWA SISI KAMA ALIVYOTUAMURU”
New Living Translation
And this is his commandment: We must believe in the name of his Son, Jesus Christ, and love one another, just as he commanded us.”(1Yohana 3:23)
>> “…….NA KUPENDANA SISI KWA SISI KAMA VILE ALIVYOTUAMURU”
>>BWANA YESU AMETUAMURU NDUGU KATIKA KRISTO TUPENDANE SISI KWA SISI KAMA ILIVYO AMRI MPYA YA KANISA LA AGANO JIPYA – (YOH 13:34-35)
9) 1 YOH 3:10 (UPENDO=UPENDANO WA NDUGU)
THEME: HUWEZI KUTOFAUTISHA UPENDO NA UPENDANO WA NDUGU! HUU NI UPENDO ULE ULE!
“10Katika hili watoto wa Mungu ni dhahiri, na watoto wa Ibilisi nao. Mtu ye yote asiyetenda haki hatokani na Mungu, wala yeye asiyempenda ndugu yake.” (1 Yoh 3:10)
>> USIPOWAPENDA NDUGU HAUKUOKOKA!! USIPOWAPENDA NDUGU UMEASI AMRI MPYA YA AGANO JIPYA KWA VIUMBE WAPYA WALIOOKOLEWA NA UPENDO WA MUNGU!!
>>NAMPENDA NDUGU YANGU ALIYEOKOKA, NA YEYE ANANIPENDA MIMI NDUGU YAKE NILIYEOKOKA; HIVYO SISI TULIOOKOKA TUNAPENDANA KWA UPENDO WA MUNGU ULIO NDANI YETU
>>TUNAPOPENDANA HIVYO HUO UNAITWA UPENDANO WA NDUGU!!!
>>YAANI, TUNAISHI MAISHA YA KUPENDANA KWA VITENDO!!! NA KATIKA KWELI!!!
>>UPENDANO WA NDUGU NI MTINDO WA MAISHA YA WALIOOKOKA AMBAPO ULE UPENDO WA MUNGU ULIOMO NDANI YAO WANAUISHI KIVITENDO UKISHUHUDIWA NA WATU WOTE KAMA ILIVYO AMRI MPYA YA YOHANA 13:34-35!!! NA HIVYO KUWA USHUHUDA KWA ULIMWENGU WOTE!!!
“Amplified Bible
For this is the message which you [believers] have heard from the beginning [of your relationship with Christ], that we should [unselfishly] love and seek the best for one another;”(1Yohana 3:11)
>> “………..LOVE AND SEEK THE BEST FOR ONE ANOTHER YOU BELIEVERS”
>>BELIEVERS ARE HEREBY EXHORTED AND ENCOURAGED TO LOVE AND SEEK THE BEST FOR ONE ANOTHER!!!
>>AND THIS IS BROTHRLY LOVE/BROTHERLY AFFECTION/MUTUAL LOVE/LOVE FOR EACH OTHER AMONG THE BRETHREN IN CHRIST
>> UPENDANO WA NDUGU NI ALAMA YA WALIOOKOKA!!! LAZIM,A WAPENDANE KWANZA NDUGU KWA NDUGU KABLA HAWAJAELEKEZA UPENDO HUO KWA MWINGINE YEYOTE!!! UPENDANO WA NDUGU = UPENDO WA MUNGU KIVITENDO MIONGONI MWAO WAAMINIO!!!
10) 1 YOH 2:10 (UPENDO=UPENDANO WA NDUGU)
THEME: UPENDO WA MUNGU NI ULE ULE UNAPOELEKEZWA KWA NDUGU KATIKA KRISTO WALA HAUBADILIKI!! ILA TU UNAITWA UPENDANO WA NDUGU KWA KUWA NDUGU WOTE IN CHRIST WANAO NA WANATAKIWA KUUISHI!! NA KWAMBA WANAPOFANYA HIVYO INAKUWA WANAPRACTISE UPENDO WA MUNGU KIVITENDO KATIKA KWELI!! MAANA WANAPENDANA WAO KWA WAO!!
“10Yeye ampendaye ndugu yake, akaa katika nuru, wala ndani yake hamna kikwazo.” (1Yoh 2:10)
>>YEYE AMPENDAYE NDUGU YAKE!!! ANAMPENDA KWA UPENDO UPI KAMA SIYO UPENDO WA MUNGU ULIO NDANI YAKE!!
>>NENO UPENDANO LINAONYESHA MUTUALITY!!! UNAMPENDA NAYE ANAKUPENDA KWA UPENDO ULE ULE WA MUNGU ULIOMO NDANI YENU!! NDUGU MNAPOPENDANA HIVYO NDIPO TUNASEMA MNADUMU KWENYE UPENDANO WA NDUGU!!!
“Amplified Bible
The one who loves and unselfishly seeks the best for his [believing] brother lives in the Light, and in him there is no occasion for stumbling or offense [he does not hurt the cause of Christ or lead others to sin].”
>> “YEYE AMPENDAYE NA KUTAFUTA YALE YALIYO/KILE KILICHO/LILE LILILO BORA KULIKO YOTE KWA AJILI YA NDUGU YAKE AAMINIYE…….”
>>THE PRACITSE OF LOVE!!! UPENDO KIVITENDO BAINA YA, NA MIONGONI MWA, NDUGU KATIKA KRISTO!!!
“New Living Translation
Anyone who loves a fellow believer is living in the light and does not cause others to stumble.”
>> “YEYOTE AMPENDAYE MWAMINI MWENZAKE…….”
>> BAADA YA AMRI MPYA YA BWANA WETU YESU MITUME WAKE WAMEKUWA WAKISISITIZA UPENDANO WA NDUGU!!! YAANI, UPENDO WA MUNGU ULIO NDANI YAO UWEKWE KIVITENDO NA USIWE WA MANENO MATUPU!!!
“18Watoto wadogo, tusipende kwa neno, wala kwa ulimi, bali kwa tendo na kweli. 19Katika hili tutafahamu ya kwamba tu wa kweli, nasi”(1Yohana 3:18)
>>UPENDO WA KWELI WA MUNGU HUWA UKO KIVITENDO SAWASAWA NA KWELI YA MUNGU!! UKIELEKEZWA KWA NDUGU HUITWA UPENDANO WA NDUGU!!! ( practical love); true love is always practical in its manifestation!!!
11) 1 THES 4:9-10 (UPENDANO WA NDUGU=UPENDO)
THEME: UPENDANO WA NDUGU NDIO UPENDO WA MUNGU KWA WALIOAMINI
1 Thes 4:9-10
“9 Katika habari ya upendano, hamna haja niwaandikie; maana ninyi wenyewe mmefundishwa na Mungu kupendana. 10Kwa maana mnafanya neno hili kwa ndugu wote walio katika Makedonia yote. Lakini twawasihi, ndugu, mzidi sana.”
>>UPENDANO WA NDUGU NI UPENDO WA MUNGU NDANI YA NDUGU ALIYEOKOKA KWA NDUGU MWINGINE ALIYEOKOKA
New International Version
Now about your love for one another we do not need to write to you, for you yourselves have been taught by God to love each other.
>> “…KUHUSU UPENDO WENU WA NINYI KWA NINYI HATUNA HAJA TUWAANDIKIE”
>> “KWA MAANA MMEFUNDISHWA NA MUNGU MWENYEWE KUPENDANA”
>>UPENDANO WA NDUGU NI UPENDO WA NDUGU KWA NDUGU KATIKA KRISTO
>.IT IS THE PRACTICE OF GOD’S LOVE AMONGST THE BELIEVERS IN CHRIST JESUS
New Living Translation
But we don’t need to write to you about the importance of loving each other, for God himself has taught you to love one another.
>>HATUHITAJI KUWAANDIKIA KUHUSU UMUHIMU WA KUPENDANA
>>KWA KUWA MUNGU MWENYEWE AMEWAFUNDISHA KUPENDANA
>>MUNGU NI UPENDO, NA ANAFUNDISHA WALIOOKOKA KUPENDANA WAO KWA WAO KWA UPENDO WAKE!!
>>UPENDANO WA NDUGU NI UPENDO WA MUNGU NDANI YA NDUGU, KWA NDUGU WENGINE WALIOOKOKA!
English Standard Version
Now concerning brotherly love you have no need for anyone to write to you, for you yourselves have been taught by God to love one another,
>>BROTHERLY LOVE = UPENDANO WA NDUGU, HAPA WANAPENDANA WAO KWA WAO KWA UPENDO WA MUNGU AMBAO NI UPENDANO WA NDUGU!!
12) 1 PET 4:8 (UPENDO=UPENDANO WA NDUGU)
THEME: KWAMBA UPENDANO WA NDUGU UKIELEKEZWA KWA NDUGU UNAITWA UPENDANO WA NDUGU
“8Zaidi ya yote iweni na juhudi nyingi katika kupendana; kwa sababu upendano husitiri wingi wa dhambi.”(1 Pet 4:8)
>> “……IWENI NA JUHUDI NYINGI KATIKA KUPENDANA, KWA SABABU UPENDANO….”
“New International Version
Above all, love each other deeply, because love covers over a multitude of sins.
>>Juhudi nyingi katika kupendana hapa= love each other deeply=mpendane kwa dhati kwa mioyo yenu yote nyie ndugu katika Kristo!!! Love hapa ni Upendo wa Mungu kwa WALIOOKOKA, ambao huu ni UPENDANO WA NDUGU! Ndugu waliookoka wanapendana
>>Believers are loving each other (they are practicing the love of God in their midst)
>>Upendano wa ndugu ni maisha ya kupendana hawa ndugu kivitendo maishani mwao sikuzote kwa upendo wa Mungu uliomo ndani yao!!
>>Upendano wa ndugu is the practical love of God among the Believers!!
New Living Translation
Most important of all, continue to show deep love for each other, for love covers a multitude of sins.
>> “…………ENDELEENI KUONYESHANA UPENDO WA KINA NA WA DHATI KWA NINYI KWA NINYI…….”
English Standard Version
Above all, keep loving one another earnestly, since love covers a multitude of sins.
>> “…… DUMUNI KATIKA KUPENDANA NINYI KWA NINYI KWA DHATI YA MOYO…..”
>>HIVYO TWASEMA UPENDO WA MUNGU KIVITENDO MIONGONI MWAO WAAMINIO NDIO UNAITWA UPENDANO WA NDUGU KWA KUWA NDUGU HAWA KATIKA KRISTO WANAPENDANA KIVITENDO NA UPENDO WAO UNAONEKANA NA WOTE KAMA YOHANA 13 :35 ILIVYOAGIZA KATIKA AMRI MPYA YA BWANA WETU YESU!!
>>BROTHERLY LOVE IS THE PRACTISE OF GOD’S LOVE AMONGST BELIEVERS IN CHRIST JESUS OUR LORD!!
13) 1 PET 3:8 (UPENDO WA MUNGU=UPENDANO WA NDUGU)
THEME: UPENDO WA MUNGU UKIWEPO KIVITENDO KWENYE MWILI WA KRISTO AU MIONGONI MWA WALIOOKOKA UNAITWA UPENDANO WA NDUGU
(BECAUSE IT IS GOD’S LOVE BEING PRACTISED AMONG BELIEVERS IN CHRIST JESUS)
“8 Neno la mwisho ni hili; mwe na nia moja, wenye kuhurumiana, wenye kupendana kama ndugu, wasikitikivu, wanyenyekevu”(1 Pet 3:8)
>>MLIOOKOKA MUWE WENYE KUPENDANA KAMA NDUGU
>>KUPENDANA KWA NDUGU WALIOOKOKA NI MAISHA (LIFESTYLE)
>>YAANI, WANAUWEKA UPENDO WA MUNGU KWENYE VITENDO KATIKA MAISHA YA KILA SIKU
>>UPENDANO WA NDUGU NI UPENDO WA MUNGU KIVITENDO MIONGONI MWA NDUGU KATIKA KRISTO
>> LAKINI MAANDIKO YANAHIMIZA THE PRACTISE OF LOVE MIONGONI MWA WALIOOKOKA ( NDUGU WAPENDANE!!) NA HUO NDIO UPENDANO WA NDUGU!!
“New International Version
Finally, all of you, be like-minded, be sympathetic, love one another, be compassionate and humble.
>> “……….PENDANENI (NDUGU)…….”
New Living Translation
Finally, all of you should be of one mind. Sympathize with each other. Love each other as brothers and sisters. Be tenderhearted, and keep a humble attitude.”
>> “………. PENDANENI KAMA NDUGU WA KIKE NA WA KIUME……”
>>UPENDANO WA NDUGU NI UPENDO WA MUNGU KIVITENDO MIONGONI MWA WALIOOKOKA (WAO KWA WAO) KWENYE MAISHA YAO YA KILA SIKU
>>UPENDO WAMUNGU UKIELEKEZWA KWA NDUGU WALIOOKOKA NA KUITWA UPENDANO WA NDUGU HAIMAANISHI UMEACHA KUWA UPENDO! BADO NI UPENDO ULE ULE ULIOMIMINWA MIOYONI MWETU NA ROHO MTAKATIFU TULIYEPEWA SISI; ISIPOKUWA ‘SCOPE’ YA UPENDO HUO SASA NI KWA NDUGU KATIKA KRISTO.