UTUKUFU WA MWISHO WA KANISA NI MKUBWA ZAIDI.....!!!










 

Ecclesiastes 7:10 (Mhubiri 7:10) some translations


10 Usiseme, Kwani siku za kale kupita siku hizi? Maana si kwa hekima uulizavyo neno hilo. 

Mhubiri 7:10


New International Version

Do not say, “Why were the old days better than these?” For it is not wise to ask such questions.


New Living Translation

Don’t long for “the good old days.” This is not wise.


English Standard Version

Say not, “Why were the former days better than these?” For it is not from wisdom that you ask this.


Berean Standard Bible

Do not say, “Why were the old days better than these?” For it is unwise of you to ask about this.


King James Bible

Say not thou, What is the cause that the former days were better than these? for thou dost not inquire wisely concerning this.


1) USISEME KWA NINI MAMBO YALIKUWA MAZURI ZAMANI KULINGANISHA NA SIKU HIZI??!!

2) SIYO HEKIMA KUULIZA MASWALI YA NAMNA HII!!

3) KIBIBLIA CHOCHOTE AMBACHO SIYO HEKIMA NI UPUMBAVU

>> MAISHA HAYARUDI NYUMA BALI YANAKWENDA MBELE

>> MUNGU ANA MPANGO ULIO BORA ZAIDI KWA KESHO YAKO NA KESHO YA KILA MWANADAMU KAMA UTAMWAMINI NA KUMTUMAINI, NA KISHA KUMPA UONGOZI WA MAISHA YAKO KWA KUMPA MOYO WAKO AUTAWALE NA KUKUONGOZA KWA NJIA YA KUMPOKEA YESU KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO

>> TANGU ANGUKO MUNGU AMEKUWA KAZINI KUILETA KESHO YENYE UTUKUFU ALIYOIKUSUDIA TANGU KABLA YA KUWEKWA MISINGI ULIMWENGU

>> KUANGALIA NYUMA NI 1) KUPOTEZA TUMAINI; 2) KUPOTEZA MWELEKEO; 3) KUTAZAMA HALI ZA MACHO BADALA YA KUTAZAMA NENO NA AHADI ZA MUNGU; 4) KUSHINDWA KUAMINI NA KUKOSA KUONA KWAMBA MUNGU YUKO KAZINI AKISHUGHULIKIA KESHO BORA ZAIDI, YENYE UTUKUFU, KWA KILA AMWAMINIYE NA KUMTUMAINIA NDANI YAKE YESU KRISTO.


Isaiah 43:18-19

[18]Remember ye not the former things, neither consider the things of old. 

Msiyakumbuke mambo ya kwanza, wala msiyatafakari mambo ya zamani.

[19]Behold, I will do a new thing; now it shall spring forth; shall ye not know it? I will even make a way in the wilderness, and rivers in the desert. 

Tazama, nitatenda neno jipya; sasa litachipuka; je! Hamtalijua sasa? Nitafanya njia hata jangwani, na mito ya maji nyikani.


>> MST 18: USIYATAFAKARI MAMBO YA KALE/ MAMBO YALIYOPITA/MAMBO YA ZAMANI

>> MUNGU SIKUZOTE ANATAKA, ANAPENDA, AMEKUSUDIA, AMEAZIMIA, NA AMEPANGA KUTENDA NENO JIPYA!!! USIPOAMINI AU USIPOLIJUA HILI LAZIMA UTAANGALIA NYUMA NA KUANZA KUTAMANI MAZURI YA KALE!! NA KWA KUFANYA HIVYO UNAPOTEZA MAONO YA LEO KUHUSU KESHO BORA YENYE UTUKUFU ZAIDI KULIKO JANA UNAYOIKUMBUKA, UNAYOITAFAKARI, NA UNAYOITAMANI

>> HAIJALISHI KUNA MKWAMO GANI SASA, AU UGUMU GANI SASA, AMA UHARIBIFU GANI SASA, YEYE AMESEMA KINABII;


Haggai 2:9

"[9]The glory of this latter house shall be greater than of the former, saith the LORD of hosts: and in this place will I give peace, saith the LORD of hosts. 

Utukufu wa mwisho wa nyumba hii utakuwa mkuu kuliko utukufu wake wa kwanza, asema BWANA wa majeshi; na katika mahali hapa nitawapa amani, asema BWANA wa majeshi."

>> UTUKUFU UJAO, UTUKUFU WA KESHO, UTUKUFU WA MWISHO WA NYUMBA YA BWANA (KANISA) UTAKUWA MKUBWA KULIKO UTUKUFU WAKE WA KWANZA!! [THE GLORY OF THE LATTER DAYS' CHURCH WILL BE GREATER THAN THE GLORY OF THE CHURCH WHEN IT FIRST BEGAN!!]

>> NA HII INAPATANA NA MAANDIKO KWAMBA;

" Eccl 7:8 (Literal Standard Version)

Better [is] the latter end of a thing than its beginning,................." ("Heri mwisho wa Neno kuliko mwanzo wake......" Mhu 7:8)

>> KULE KUSEMA "BLESSED IS THE END OF A MATTER OR THING THAN THE BEGINNING THEREOF" (UMEBARIKIWA MWISHO KULIKO MWANZO WA NENO AU JAMBO AU KITU), KUNAMAANISHA:

1) PALE MUNGU ANAPOHUSIKA KWENYE JAMBO AU HALI AU KITU CHOCHOTE, KWA WEWE UNAYEAMINI UNA UHAKIKA WA MWISHO BORA WENYE UTUKUFU

2) KWA WEWE UNAYEMTEGEMEA, UNAYEMWAMINI, UNAYEMTUMAINIA, NA UNAYEMNGOJEA MUNGU NDANI YAKE KRISTO YESU, UNAO UHAKIKA WA KESHO BORA YENYE UTUKUFU, NA PIA MWISHO BORA WENYE UTUKUFU WA MKEO, MUMEO, WANAO, BIASHARA YAKO, KAZI NA AJIRA YAKO, AFYA YAKO, HUDUMA YAKO, NDOA YAKO, MASOMO YAKO AU YA WAPENDWA WAKO, KANISA LAKO LA MAHALI PAMOJA, N.K.

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post